Niliomba chuo mwaka juzi cha Afya ngazi ya Diploma kupitia NACTE nikafanikiwa kupata nikaenda kusoma kwenye hicho chuo kama miez minne nikaacha kutokana na matatizo ya kifamilia.
Swali langu ni hili, nahitaji tena kuendelea na masomo. Je nifanye application upya na huku nishaingia kwenye system ya NACTE tangu mwaka juzi au nifanyaje??
Maoni yenu kwa wingi wakuu
Swali langu ni hili, nahitaji tena kuendelea na masomo. Je nifanye application upya na huku nishaingia kwenye system ya NACTE tangu mwaka juzi au nifanyaje??
Maoni yenu kwa wingi wakuu