Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wana TIA tulitakiwa tupata quarter 4 toka tarehe 12/5 mpaka Leo hi hatujasign chochote na hakuna taarifa yoyote Zaidi bodi ya chuo inatuambia tukutane kesho kuna kikao
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tafadhali naomba mwenye link za vitabu vya James Hardley Chase anifahamishe niweze kuchukua na kusoma... Pia kama kuna vitabu vya ELVIS MUSIBA kama NJAMA, KIKOMO, KIKOSI CHA KISASI pia naomba...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Naomba kuzifaamu kozi ambazo mtu wa PCB anaemaliza Form 6 anaweza kuchukua Chuo Kikuu. Nahitaji kuzijua ili nipate kufanya upembuzi yakinifu wa kujuaa kabisa nitasoma nini nitakapofika huko na ili...
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Habari zenu wana JF, Umri wangu wa sasa ni miaka 19: Baada ya kufanya mtihani wa Taifa mwaka 2014 kwa mfumo wa GPA nikapata PASS ya 0.6 yaani Mathematics F English D Geography F Civics E...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni vema kuunda tume, lakini mbona watu wengi au ni kutafutiana ulaji. Tanzania bwana,.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenye link ya kudownload kitabu cha Chand's principle ofpPhysics xi edition aiweke hapa pls.Naomba sana wakuu. Najua humu wapo wengi kitaa mnaweza nipostia hio link hapa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta Chuo chochote kinachotoa mafunzo ya utunzaji maiti(mortuary attendant) kwa Tanzania Msaada tafadhali.... Nawasilisha.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Husika na kichwa cha habari. Naomba mwenye kujua aniambie masomo yanaanza lini? Je utaratibu wa kuapply upoje au ni kwenda kuchukua form? Na je vigezo vya kudahiliwa ni vipi? Nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habarini wana JF. Naomba kufahamishwa mahali popote kwenye chuo cha ufundi kwa watu wenye ulemavu wa kusikia na kuongea. Asante kwa ushirikiano wenu
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaj ushauri kidogo kama matokeo haya niliyopata naweza kwenda shule za serikali HIS=C CIV=C GEO=C ENG=C KISW=C BIOS=C B/MATHS= F Hebu niwekee kaneno maana hope ina majipu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nmeskia kwamba kwa combination za arts yani hkl na hgl watatumia grade tofauti na combination nyengine mwenye uhakika na hili naomba anisaidie
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Njoo songea madaba nije mbeya vjjn,manispaa,Mbarali,chunya,na mbozi Mawasiliano 0755525131
1 Reactions
6 Replies
883 Views
Naomba mnisaidie ukiondoa kuzalisha maprofesa je UDSM imefanya/inafanya tafiti au mradi gani katika kusaidia Taifa. NB Makerere -wametengeneza gari SUA-panya wa kutegua mabomu Nb:Tutumie vyuo...
7 Reactions
170 Replies
19K Views
Tume ya Vyuo vikuu nchini TCU imealika umma ili kuweza kujadili jinsi udahili wa wanafunzi utakavyo kua, jinsi ya kukagua ubora na viwango vya chuo kikuu pamoja na kutoa ithibati ya kuruhusu chuo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wanajf. Kuna taarifa zinazoenea kwa kazi miongoni mwa wanafunzi wanaosoma kozi ya stashahada ya juu ya Elimu (postgraduate diploma in education) kuwa ajira zao hazitakuwepo kuanzia sasa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wana jf naombeni Masada kwa hili kuna dogo langu alifanya application nacte mwezi March na dedline zao ni 03/06/2016 11:59 Lakini miaka sasa akiingia kwenye account yake application zinafanya kazi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba kujua kutoka kwenu wapendwa mimi nahitaji nitume maombi NACTE ngazi ya Cheti. Ufaulu wangu ni division IV ya 28 ambayo nina D katika masomo yafuatayo:-English, Kiswahili, Math, Geography...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani kuna dogo anahitajika US Embassy kufanya interview ya kupata scholarship kusoma nje ya nchi tarehe 24na yupo JKT kwa sasa. Je anawezaje kupata ruhusa ya kwenda kufanikisha suala hilo?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za wakati hu bila shaka nyote ni wazima wafya katika ubora wenu, nasikia tu kutoka kwa watu eti ualimu ni njia yakutokea hakuna namna. Kwa maana umeingia kwenye hii fani ukiwa na maudhui...
3 Reactions
92 Replies
13K Views
Hello wadau ikiwa ni wazo makini ambalo tayari limeanza utekelezaji Chuo chetu makini kabisa Arusha Technical college alimaarufu kama ATC kimeanza mikakati ya kuunda helicopter kutokea ktk...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom