Naomba kujua kutoka kwenu wapendwa mimi nahitaji nitume maombi NACTE ngazi ya Cheti. Ufaulu wangu ni division IV ya 28 ambayo nina D katika masomo yafuatayo:-English, Kiswahili, Math, Geography, History, Chemistry, Physics na Biology. Pia nina F katika somo la Civics.
Shule nimaliza 2012, kulingana na sababu mbalimbali nilichelewa ku apply ila nina hobby ya kusoma sayansi niwe mwanamahesabu.
Je nikiomba maombi ya cheti NACTE, ni wakati gani hasa maana nasikia mwaka huu wamefunga. Sijui nifanyeje wapendwa, msaada tafadhali!