Utaratibu wa kuapply KAM College

abdulh iddy

Senior Member
May 28, 2015
159
6
Husika na kichwa cha habari.

Naomba mwenye kujua aniambie masomo yanaanza lini? Je utaratibu wa kuapply upoje au ni kwenda kuchukua form?

Na je vigezo vya kudahiliwa ni vipi?

Nawasilisha
 
husika na kichwa cha habar.Naomba kuuliza masomo yanaanza lin.Na utaratibu wa kuapply upoje au ni kwenda kuchukua form.Na je vige zo ni vip???nawasilisha
Fomu yao inapatikana kwenye website yao ingia huko halafu utaidownload then utaisoma kila kitu kipo humo.
 
sawa kiongoz ila nimejarib kudownload inaingia kam virus.Naomba kama itawezekana download then attach hapa mkuu itakuwa pouwa.
 
Husika na kichwa cha habari.

Naomba mwenye kujua aniambie masomo yanaanza lini? Je utaratibu wa kuapply upoje au ni kwenda kuchukua form?

Na je vigezo vya kudahiliwa ni vipi?

Nawasilisha
Ingekuwa vizuri kama ungeenda pale chuoni kwao na matokeo yako ya form four..utalipia form then na process nyingine zitakazofuata registration wanakufanyia wao though kuna amount utatoa kulipia maana wao ndo wanapeleka majina yenu nacte mnakuwa registered..
 
Back
Top Bottom