Habari wadau.
Nimepata admission letter ya kusoma Masters of Religious Studies with Education hapa Tanzania.
Naomba msaada kwa aneyejua wapi naweza nikapata support ya sponsor kwa kozi ya...
hivi kati ya kozi hizi mbili ipi nzuri zaidi kwa mwajiriwa wa serikali kupandishwa cheo na kupadilishwa kazi kwa kanda ya mahakama kozi hizo ni BACHELOR DEGREE IN HUMAN RESOURCES MANAGEMENT (BHRM)...
Habar wana JF,Jamani kwa anaesoma au aliewahi kusoma tuition ya mchikichini naomba anitajie bei ya topic hizi
1.Mechanics in Physics
2.Physical chemistry
Na pia zachukua muda gani kila moja...
Jamani msilalamike Mimi ni moja ya walio isoma namba kuhusu utumbuaji wa majipu kinacho fanyika na serikali sio makosa hata kidogo ili tufikie uchumi wa kati lazima inapo fanyika recovery ya...
Shule nyingi nnazozijua ni za international then ada zao pia ni kubwa....nahitaji kujua ni wapi naweza pata shule ambayo naweza nikasoma kwa lengo la kurisiti mtihani wa kidato cha nne...
Hapa kwetu Tanzania utafiti unaonyesha wasichana wengi hawapendi masomo ya sayansi kutokana na dhana walo jiwekea kua masomo haya ni magumu
Je hivi ni kweli haya masomo ni magumu ama jamii ndo...
Msaada wadau juu ya hii program inayotolewa SUZA. Inaitwa Bachelor of Science in Information Technology with Education.
Ufafanuzi tafadhali, unasomea vitu vingapi hapo? Baada kuhitimu unafanya...
As she stood in front of her 5th grade class on the very first day of school, she told the children an untruth. Like most teachers, she looked at her students and said that she loved them all the...
Habari zenu ndugu wanajamiiforum ,poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu,Mimi ni mwalimu by professional wa masomo ya physics na hesabu naomba niende kwenye mada
Binafsi nimewaza...
Habari wana jf. Natumai wote wazma.
Msaada nina dogo wangu kamaliza mwaka 2014, akapata credit mbili[2] g.p.a 0.6. Yaani C-biology, C-Kisw.
Naomba msaada anaweza somea kozi gani ambayo ni rahisi...
Muda wa kuripoti kwenye kambi uliyopangiwa ni kati ya tarehe 1 na 5 mwezi wa sita, mafunzo ni ya miezi mitatu. kila la heri.
Majina yanapatikana hapa Majina ya Vijana JKT 2016 tafuta jina...
walimu sijui tunaonekanaje nchi hii!! tumewekwa mwisho kila wakati tumechekwa, tumedharauliwa, tumechapwa viboko, tumepigwa vibao.. na bado mishahara Yetu imeendelea kudumaa siku hadi Siku..
ona...
Habar wana Jf
Katka matokeo yangu ya kdato cha nne 2015 nmepata div 4 point 27 nna MATH D' PHYS D' CHEMI D' GEOG C' BIOS D' KISW D' ENG D' HIST D' CIV 'F' Na nmeapply through nacte chuo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.