Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nimepata dv 2 ktk mtihani wangu wa kidato cha nne,nikiwa na alama zifuatazo,math F,english B,hist B,civ C,geog C,kisw C,chem D,phy D,biology C.je naweza badili comb niende CBG maana nimepangiwa HGL.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wadau naweza nkabadilisha comb niende ya science....na nkisoma HKL coz gan nzur ya kuchukua chuo??
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta kilicho jijini Arusha kinachotoa masomo ya kilimo na teknoloija, Sasa kinatangaza nafasi ya English Course kwa cheti cha Certificate itakayoanza mwezi wa tano 2012...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Tangu tarehe 8 mwezi huu sisi tulisaini boom, ktk kitivo cha sayansi asilia na hisabati, hapa UDOM lakini mpaka hapa hatujapata hizo hela Wahasibu hawa wana majibu ya "hovyo" na mmoja wao huwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani nna mtoto nataka mpeleka huko ila sijajua ziko ngapi na taratibu zake nimeskia moja ipo mbeya je ni kila Mkoa??? Mi nipo morogoro naomba kujuzwa please
2 Reactions
16 Replies
8K Views
RE:
Jamani vp kuhusu mishahara mipya?[/QUOTE naomba mniagalizie mdogo
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Je hawa makampuni ya simu(tigo,airtel na voda)wanaweza kusoma na kutoa data zako za kimasiliano katika whatsapp? Wataalaam mje huku jamani mnisaidiee pleasee
0 Reactions
0 Replies
781 Views
  • Closed
Habari zenu wana jf hivi hizi selection Za kidato cha tano ndo zimestishwa kama Ajira au wanacho subiri ni nini hasa na veep kwa DIV III kutoenda form five au kiki Za mitaa naomba wenye uelewa...
1 Reactions
30 Replies
34K Views
  • Closed
Heshma kwenu wadau. Je, ni hizi habari zinazovuma kwamba waziri wa elimu kasema kuanzia mwakani hamna kuresiti(wale Pc candidates) wa f4 labda urudie f2 kuanzia mwakani ama ni uongo? Nimeamua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Samahani .......Mimi no mwanafunzi Wa kidato cha NNE.....nauliza,,,,in masomo gani ninapaswa kuyafaulu ili niweze kusomea mambo ya computer software
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni miezi minne sasa tokea matokeo ya kidato cha nne yatoke lakini hadi leo hamjapanga shule kwa wanafunzi hao. Kwa elimu ya kidato cha tano hamjafuta michango sasa...
3 Reactions
35 Replies
8K Views
Natumaini mpo vema wanajF. Usichague Chuo kwa kutumia Vigezo vifuatavyo Itakugharimu. 1.Ukubwa wa Jina:Hapa watu wanafanya makosa kwa kulewa na jina(e.g UDSM,KCMC,MZUMBE tu mtu anachukulia kigezo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman wapendwa....mwaka huu mikopo inaanza lini kuombwa??
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum. Teachers' Junction kupitia kitengo chetu cha Teachers Networking Centre kinachojihusisha na kuwaunganisha walimu na shule za watu binafsi (private) nchini, ambapo...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari wadau wa jf, Nina moja la kuliwasilisha ambalo ni ushauri, Kwa yeyote aliyefeli kidato cha nne lakini bado anakusudia kurudi shule namshauri yafuatayo:- 1.Atie nguvu azma/kusudio lake...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Jamani hii sio haki kabisa wala sio fair kuwafanyia watu hivi!,Hawa watu wamelipa Ada,wamepoteza mda wao miaka 3 sio mchezo halafu unakuja kuwapa Disco kwa sababu ambazo hazina Mashiko sanaa! Hii...
0 Reactions
72 Replies
12K Views
Kama kuna mtu mwenye taarifa naomba atujuze.
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Hivi inachukuwa mda gani kufunguliwa kwa system ya kuapply mikopo baada ya mtihani wa kidato cha sita naombeni msaada
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Wakuu kuna scholarship zimetangazwa na chuo kimoja huko Australia... Nilipoanza kuomba ikafika stage inaniomba Offer ID na maelezo yanasema bila kuwa na hiyo huwezi kuendelea na process. Nahitaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sorry .. I need notice for module /subjects of nursing for second semesters please help me?!??
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Back
Top Bottom