Deadline ya CAS- NACTE hasa ni lini? Mbona bado inakubali?

Andrew Sosipeter

Senior Member
May 29, 2016
189
33
Wana jf naombeni Masada kwa hili kuna dogo langu alifanya application nacte mwezi March na dedline zao ni 03/06/2016 11:59 Lakini miaka sasa akiingia kwenye account yake application zinafanya kazi na amejaribu kuongeza coz application zinafanya kazi naomba kufahamu kuhusu dedline hizo wenye uzoefu
 
Nacte kama ulishafanya registration kabla couse unaweza kubadilisha mda wowote haijalish deadline kwa kubadili course hasa ukiangalia wataongeza muda kuchanganya na walioomba kabla.
 
Mkuu na matokeo wanatoa lini? Mm binafsi nilifikiri baada ya tar 03/06 yatakuwa tayari wanasemaje kuhusu matokeo yao ni lini?
 
Muwe mnaingia basi hata kwenye website zao kusoma habari mpya jaman.. Khaaa watu wanaropoka bila hata ushahidi wa kimaandishi...
Week ya 3 kuanzia tarehe waliofunga ndo watatoa majibu kwa waliochaguliwa.
Kwa nafsai zitakazobakia baada ya watu wa kwanza kuchagukiwa zitarejeshwa tena mwishon mwa mwezi june au mwanzon mwa july ili wale ambao hawakuomba wazigombanie sasa
Source: visit www.nacte.go.tz
 
Hivi na zile za mwezi wa tatu veepe????? maana walidai ile ndo ilikua intake ya kwanza but sijaona matokeo yake au ndo wanaunganisha yote according to this advert????? Msaada hapo:confused::confused::confused:
 
Za mwezi wa tatu zipi hizo mkuu
 
Muwe mnaingia basi hata kwenye website zao kusoma habari mpya jaman.. Khaaa watu wanaropoka bila hata ushahidi wa kimaandishi...
Week ya 3 kuanzia tarehe waliofunga ndo watatoa majibu kwa waliochaguliwa.
Kwa nafsai zitakazobakia baada ya watu wa kwanza kuchagukiwa zitarejeshwa tena mwishon mwa mwezi june au mwanzon mwa july ili wale ambao hawakuomba wazigombanie sasa
Source: visit www.nacte.go.tz
Link haifunguki!
 
Back
Top Bottom