R100 JF-Expert Member Sep 11, 2014 337 81 Jun 22, 2016 #1 Nmeskia kwamba kwa combination za arts yani hkl na hgl watatumia grade tofauti na combination nyengine mwenye uhakika na hili naomba anisaidie
Nmeskia kwamba kwa combination za arts yani hkl na hgl watatumia grade tofauti na combination nyengine mwenye uhakika na hili naomba anisaidie
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Feb 20, 2016 15,583 23,398 Jun 22, 2016 #2 Si kweli. Kinachofanyika this time ni kuweka form 5 lazma ufaulu kuanzia B. Wenye C watapangiwa VETA
R100 JF-Expert Member Sep 11, 2014 337 81 Jun 22, 2016 Thread starter #3 jaji mfawidhi said: Si kweli. Kinachofanyika this time ni kuweka form 5 lazma ufaulu kuanzia B. Wenye C watapangiwa VETA Click to expand... Sijakuelewa mkuu samahani
jaji mfawidhi said: Si kweli. Kinachofanyika this time ni kuweka form 5 lazma ufaulu kuanzia B. Wenye C watapangiwa VETA Click to expand... Sijakuelewa mkuu samahani
kancarl JF-Expert Member Jun 4, 2016 1,182 575 Jun 22, 2016 #4 Watanzania tunazid kulaaniwaaa Point ya veta haina mashkooo