Msaada: Nirudi shule au nifanye nini kingine?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,743
25,535
Habari zenu wana JF,

Umri wangu wa sasa ni miaka 19:

Baada ya kufanya mtihani wa Taifa mwaka 2014 kwa mfumo wa GPA nikapata PASS ya 0.6 yaani
Mathematics F
English D
Geography F
Civics E
Biology D
Kiswahili C
History D.

Je mnanishauri nirudie shule nirudie kidato cha ngapi na masomo gani niyapiganie?
 
Aisee kwa hii speed ya dr. ndalichako rudio form three, na ukasome hasa hasa acha utani na shule
 
Habari zenu wana JF,

Umri wangu wa sasa ni miaka 19:

Baada ya kufanya mtihani wa Taifa mwaka 2014 kwa mfumo wa GPA nikapata PASS ya 0.6 yaani
Mathematics F
English D
Geography F
Civics E
Biology D
Kiswahili C
History D.

Je mnanishauri nirudi shule au niendelee kukaa nyumbani.
Kama unanishauri nirudi shule nirudie kidato cha ngapi?
nashukuru kwa ushauri wako mkuu
 
Habari zenu wana JF,

Umri wangu wa sasa ni miaka 19:

Baada ya kufanya mtihani wa Taifa mwaka 2014 kwa mfumo wa GPA nikapata PASS ya 0.6 yaani
Mathematics F
English D
Geography F
Civics E
Biology D
Kiswahili C
History D.

Je mnanishauri nirudi shule au niendelee kukaa nyumbani?.
Kama unanishauri nirudi shule nirudie kidato cha ngapi?
Kuna msemo unasema;

it's better to die for doing something than living for nothing.
 
Mimi nakushauri uendelee kukaa nyumbani mpaka pale utakapokuwa tayari kwa hiyari yako kwenda kusoma. Au pale utakapopata maamuzi sahihi kwa ajili ya maisha yako ya baadae kwa sababu sasa hivi unakula bure na unavaa bure kwa jasho la wazazi wako usiumize sana kichwa mdogo wangu.
Huo ni mtazamo na ushauri wangu ila naamini hata wewe una maamuzi yako kama kijana unaweza ukaufuata au ukauacha.
 
jalibu kuangalia kile ambacho ulikuwa na interest nacho tangu mdogo ndo hicho hicho ukiendeleze.
 
....rudi shule,rudia hayo masomo uliyopata D,usirudie mengi sana yatakuchanganya, ukifaulu hayo utaendelea km ni certificate au kwenda A level.
 
Habari zenu wana JF,

Umri wangu wa sasa ni miaka 19:

Baada ya kufanya mtihani wa Taifa mwaka 2014 kwa mfumo wa GPA nikapata PASS ya 0.6 yaani
Mathematics F
English D
Geography F
Civics E
Biology D
Kiswahili C
History D.

Je mnanishauri nirudi shule au niendelee kukaa nyumbani.
Kama unanishauri nirudi shule nirudie kidato cha ngapi?
Kama kuna shamba kijiini kwenu na limekaa karibu na maji nenda zako katafute mtaji kwa bidii uje uendelee na mambo mengine town,watakaoendelea kusoma utakuja kuwaajili iwapo akili yako itakua ya mwendo kasi ktk kutafuta shekeli
 
Back
Top Bottom