Tetesi: Ajira za wahitimu wa Postgraduate diploma ya elimu kutokuwepo kuanzia sasa

breki sifungi

JF-Expert Member
Oct 15, 2014
694
409
Habari wanajf.

Kuna taarifa zinazoenea kwa kazi miongoni mwa wanafunzi wanaosoma kozi ya stashahada ya juu ya Elimu (postgraduate diploma in education) kuwa ajira zao hazitakuwepo kuanzia sasa.

Ikumbukwe kuwa wanaosoma kozi hii walikua wakiajiriwa moja kwa moja kwenda kufundisha sekondari kama ilivyo kwa wahitimu wengine wa shahada ya kwanza.

Kwa mwenye taarifa kamili kuhusu hili tafadhali anieleweshe.
 
hakuna official statement yyte iliyotolewa na Tamisemi au wizara ya elimu. Kwahiyo muache umbeya, tatizo mnasoma sana magazet ya udaku.
 
vuta subira wanaohusika watoe tamko rasmi magazeti wanatafuta soko Ni habari za kibiashara
 
Back
Top Bottom