Habari za weekend jamani..
Mtoto wangu amechaguliwa kwenda msalato high school sasa naitaji kupata joining Instruction ya hapo msalato kwa yoyote mwenye nayo ambayo iko update...
Kazi ya NBS ni kukusanya, kuchambua na kutoa takwimu mbali mbali nchini kama sheria ya kuanzisha taasis hiyo inavyotamka.
Kila baada ya miaka 10 serikali imekua ikitumia fedha nyingi sana...
Wakuu hali vipi?
Tafadhali naomba kuelewa; hii shule ya Myovizi iliyopo wilaya ya Mbozi, ndiyo imeanza kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu?
Kimazingira na kitaaluma imekaaje?
Habari za mchana, nimemaliza form four mwaka jana, naomba kujuzwa tofauti ya kozi tajwa hapo juu, na ni kozi ipi ni rahisi zaidi kujiajiri au kuajiriwa. Asante
habarin wana jf
nimeona nitoe ushauri kwa wanafunz wa new entry mwaka 2016/2017
{1}wasichague chuo kwa kufuata mkumbo
{2}wasichague koz hafifu
{3}wachague koz zenye fulsa za kujiajir na kuajiliwa
NDANDA BOYS HIGH SCHOOL
1.Advance only
2.Location ipo mkoa wa mtwara,wilaya-Masasi,kata-Mwena.
3.Ni shule nzuri kimiundombinu ya majengo,saman, n.k
4.Huduma ya maji Uhakika,umeme TANESCO + Solar...
Habarini za jioni wana jf,
Naombeni mnisaidie, Shule ya Secondary Kimamba iliyopo Kilosa Morogoro kama ina Advance maana kuna mdogo wangu amepangwa huko.
Cha ajabu nimejaribu kufuatilia...
Hamjambo,
Nakumbuka hapo nyuma wakati wa utawala wa Mheshimiwa JK, kulikuwa na tetesi kuwa kiswahili kitatumika kama lugha ya kufunzia wanafunzi wa vyuo vya upili katika masomo yote; sera hii...
Habari za wakat huu wanajamvi.Nna mdogo wang kachaguliwa Ruvu girls sec. mchepuo wa PCB hvo nataka nifaham ubora wa shule hyo kwa ujumla ikiwemo miundo mbinu yake ya kusomea na uwepo wa...
Ndugu wana jf naombeni Masada kwa yeyote anaeifahamu RORYA HIGH SCHOOL BUSWERU MWANZA anisaidie kunielewesha Ada ya day na boarding kwa five na six mchepuo wa HKL
Kama ww umechaguliw kigoma secondary kujiunga na kidato cha tano aisee hongera sana karibuni xaana kwa mzee magembe
Sifa ya shule ya kigoma secondary
1: inapatikana kigoma mjini kama km3.5 hv...
Kwa takribani muda wa siku tatu ( 3 ) zilizopita nilibahatika kufanya ziara zangu za Kikazi na Kiutafiti hasa katika Shule za awali ( Kindergarten schools ) na hizi za Msingi ( Primary schools )...
Lengo si kukosoa ubora wa elimu inayotolewa kwa shule za sekondari za kata na nikiri kuwa shule hizo zimeongeza chachu kubwa kwa wananchi kuimarisha elimu na huduma nyingine za jamii katika maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.