Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 7,786
- 75,582
Habarini wana JF. Naomba kufahamishwa mahali popote kwenye chuo cha ufundi kwa watu wenye ulemavu wa kusikia na kuongea.
Asante kwa ushirikiano wenu
Asante kwa ushirikiano wenu