Black7
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 367
- 115
Naomba kuzifaamu kozi ambazo mtu wa PCB anaemaliza Form 6 anaweza kuchukua Chuo Kikuu. Nahitaji kuzijua ili nipate kufanya upembuzi yakinifu wa kujuaa kabisa nitasoma nini nitakapofika huko na ili niweke plans zangu kwa uzuri kabisa. Naombeni msaada wakuu.