Hakuna namna, ualimu ndio njia ya kutokea

rutabazi

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
497
293
Habari za wakati hu bila shaka nyote ni wazima wafya katika ubora wenu, nasikia tu kutoka kwa watu eti ualimu ni njia yakutokea hakuna namna.

Kwa maana umeingia kwenye hii fani ukiwa na maudhui yako binafsi na sio kupiga kazi(kwa manufaa ya watzania wanafunzi), 'Kama kuna mtu aliyebaki anamawazo finyu namna hi apewe taarifa mapema.

Ualimu sio njia yakupitia atafute kwingine, huku ni kwa watu walichagu kua walimu kwa kujipima wenyewe kwa maana yakufany kazi km mwalmu; mlezi; pmja na kufuta ethical code.
  • loyality
  • diligence
  • integrity
  • accountabillty
  • lmpartiallity
  • respect of law and other..
usije mshauri mtu kusoma ualimu kama mwenyew hataki na usije hamasisha mtu kusoma ualimu kama njia yakutokea

Tanzania tutaijenga mimi na ww...!!

Tuseme basi yatosha kwa pmoja tujenge inchi kwa vijana Walipata elimu safi kutoka kwa walimu makini.
 
Hahhahhaa I am sorry sana na sina maana mbaya ila mimi ni mmoja wa waliofanya ualimu kama njia ya kutokea, na namshukuru MUNGU nimetoka kimtindo! Siwezi kuendelea kubeba dhambi ya kujifanya nawafundisha kwa moyo ili wafaulu wakati huo huo maisha yangu yakiwa taabani, huu wema wa mshumaa mimi ulinishinda! Hata hivyo sipingi mtu kuwa na mawazo mbadala, kama unaweza baki, mimi nimeshindwa nikaacha! Siwezi kufa na tai shingoni...
 
naishangaa bongo hii eti wanasiasa wanang'ang'ania elimu bure kuacha kuwa na fikra ya elimu bora!!! hayo mabilion ya kila mwez yanayotawanya na sirikali kwa shule zao yangetumika kumpa posho mwalimu nazani ingesaidia kuinua morali za walimu ktk ufundshaji wao...sasa elimu elim ya bongo imekuwa ni mchezo wakisiasa....mwalim hana thamani elim pia hainathamani.....kwa mtindo huu walimu wajipange kivingine kuinua maisha yao laah sivyo watakuwa ni watu wakulalama kila siku......Muda wa elimu bure kwa bongo hii ni bado saanaa kwa sasa tuangaike na elimu bora na sio elimu bure.....watu wa siasa tuna waomba muwaache wataalam wa elim wafanye mambo yao kwa Uhuru.
 
Umesema Sana Ndugu yangu.
Hongera Sana
 
Mme wangu ni daktari, kipato cha kawaida tu hela ya kula kunywa kuvaa ipo tunamshukuru Mungu

Hapo ni kweli lakini ungekuwa umeolewa na mwalimu mwenzio nadhani sasa hivi ungekuwa unalaani kwa namna unavyokabiliana na ugumu wa maisha
 
Mke wangu ni mwalimu, anaipenda kazi yake(of which I'm proud of her) lakini sipendi anavyonyanyaswa na Serikali kana kwamba si mtumishi wa maana. Natamani sana kumuona anaachana na ualimu
 
Hapo ni kweli lakini ungekuwa umeolewa na mwalimu mwenzio nadhani sasa hivi ungekuwa unalaani kwa namna unavyokabiliana na ugumu wa maisha
Tatizo sio kuolewa wala kuoa nani, tatizo ni kukaa tu kusubiri neema na rehema za tarehe 30 my dear hata kama salary yako ni 5m per month ila ndo hapo hapo unapotolea macho lazma tu utaona maisha ni magumu
Unauponda ualimu unasema sio kazi ya kusema mbele za watu LAKINI MUDA HUO HUO UNASUBIRI COMFIRMATION LETTER UKACHUKULIE MKOPO, ungekuwa kijiweni ungepata hiyo barua? Ungepata huo mkopo? Acha kudharau kazi
ualimu ni kazi nzuri binafsi nipo free sana kwa wiki nna vipindi siku mbili tu siku zinazobaki nipo free nikiwa na kijiwe muda wa kukisimamia upo 90%, nikiweka mabanda ya kuku muda wa kusimamia upo sana tu hata nikiwa na mishe mishe za hela mjini nna uhakika muda ninao, pia mtaji sio swala la kujiuliza make kwa ualimu huu huu nnakopa milioni kadhaa. Yani unataka maisha yakunyookee kwa kusubiri tarehe 30???Hiyo haipo we endelea kulaumu ualimu ila kuna watu wanaulilia angalia hata ambao wanangoja hizo post au hata wewe wakat unangoja posts ulikuaje kama sio kusumbua kila siku unaulizia lini zinatoka, ila kwa kua leo umeajiriwa unaona ualimu sio kazi pole acha ualimu ukakae kijiweni utatoka
masai dada ana dili kibao mjini kwa ajili ya ualimu we endelea kulalamika
 
Kana Wee Efalyn Sukari kana Kumbe Una akiri nyng . Shida sio Mashahara na wala Kazi shida Ni wewe kuchagua uishi vipi.
 
Mie nadhani it suits women hii profession kuliko wanaume, ndio maana kuna kamsemo kanasema strong men merry teachers, wanawake ni walezi by nature.

Niliposoma comparative education nilikuja kugundua/ na imeandikwa nchi zilizoendelea walimu wanaume ni wachache sana, mathalan wingereza karibu 78% ya walimu wote ni WANAWAKE.

Kwanini wanawake na sio wanaume, WANAUME ndio wabeba mizigo, familia nk, tunahtaji kupata kipato kikubwa ili kuendeleza maisha, kusomesha nk. Sasa akina Evelyn Salt hawa ni wanawake, wanaume wenzangu kazi ipo, tusidanganyane eti ualimu kuna muda wa kutosha kufanya kazi za ziada, labda kama kwenu huko mlipo mna loopholes na hamsimamiwi hakuna wakuu wa shule makini.

Muda wa masaa ya serikali ni masaa 9 kwa wafanyakazi wote, una saini asubuhi 1:30 na kutoka uwe na kipindi huna ni saa 9.30 cjui ninyi hz muda wa kutosha mnapata wapi? Tena kada nyingine wenzetu akikaa mpk saa 11 sio kua kabanwa no anatumikia allowance na atapewa ama atajiandikia/andikiwa.

Kuna biashara huwezi simamia saa 10 mpk saa 12 ni uongo lazima uitaji muda wa kutosha, ikibd full time.

Ualimu ni kazi ambayo unaenda likizo, unafanya vikao, unafanya overtime bureeee na utapokea pesa tarhe 30 mpk 30 mwezi unaofuata ya mshahara wako tu tena uliokatwa na CWT

Ualimu ni kazi unayoweza dhurumiwa na huna pakusema wala kudai, maana hata bosi wa kazi yako kumjua ni issue, kazi ina wasimamizi kibao, juu ya mwalimu wa kawaida, kuna walimu wenzangu wa msingi wakimuona hata mratibu elimu kata wanatamani kujinyea. Ualimu suits women the most.

Mwisho tujue tunatofautiana matamanio, malengo, aina ya maisha tunapenda kuishi na vision.

Kuna mtu, kwa mf rafiki yangu mmoja aliajiriwa kufundisha primary, salary yake ni kama 270k alipoanza, aisee huyu alilidhika akawa bonge, kanenepeana kama tetea la bata hata ukimwambia kasome ufikie kidiploma anakwambia nisome ili iweje, kwake maisha ni kuwa na uhakika wa kula na nyumba ya vyumba viwili na sebure bila finishing basi, watoto wanasoma elimu kata bure maisha yamekoma.

Wenzangu na mie kila siku unaota kuendesha atleast VX, umeshindwa sana hata mark X, lazima ualimu usiwe kazi ya maana kwako, maana kupanda madaraja tu ni kesi mpk usugue magoti kumeomba mungu.

Ualimu hata usome ufike masterz hutatambulika kwa elimu hiyo uta push tu madaraja basi, sasa mpk nifikie daraja I lenye milioni 1 na point ni leo?

Life begins at 40 alafu wewe unasubiri kufika daraja I, lini?

Ualimu kwa wanaume kwa mtazamo wangu sisi wenye njozi kubwa ni sehemu ya kukusanya mtaji, or mark time area ukijiandaa kwa safari au mchakamchaka.

Kwa wanawake ninyi fieni humo tu kwasababu mnafanyakazi kutafta pesa ya saloon na mashindano ya mavazi stuff. Kila siku mnachukiana kwa mashindano ya kuuza bagia na karanga stuff
 
Tatizo sio kuolewa wala kuoa nani, tatizo ni kukaa tu kusubiri neema na rehema za tarehe 30 my dear hata kama salary yako ni 5m per month ila ndo hapo hapo unapotolea macho lazma tu utaona maisha ni magumu
Unauponda ualimu unasema sio kazi ya kusema mbele za watu LAKINI MUDA HUO HUO UNASUBIRI COMFIRMATION LETTER UKACHUKULIE MKOPO, ungekuwa kijiweni ungepata hiyo barua? Ungepata huo mkopo? Acha kudharau kazi
ualimu ni kazi nzuri binafsi nipo free sana kwa wiki nna vipindi siku mbili tu siku zinazobaki nipo free nikiwa na kijiwe muda wa kukisimamia upo 90%, nikiweka mabanda ya kuku muda wa kusimamia upo sana tu hata nikiwa na mishe mishe za hela mjini nna uhakika muda ninao, pia mtaji sio swala la kujiuliza make kwa ualimu huu huu nnakopa milioni kadhaa. Yani unataka maisha yakunyookee kwa kusubiri tarehe 30???Hiyo haipo we endelea kulaumu ualimu ila kuna watu wanaulilia angalia hata ambao wanangoja hizo post au hata wewe wakat unangoja posts ulikuaje kama sio kusumbua kila siku unaulizia lini zinatoka, ila kwa kua leo umeajiriwa unaona ualimu sio kazi pole acha ualimu ukakae kijiweni utatoka
masai dada ana dili kibao mjini kwa ajili ya ualimu we endelea kulalamika

Ni kweli nilikuwa nikisubiri kwa hamu kupata hiyo ajira lakini sasa hivi cha moto nakiona ila kinachonisikitisha ni kuona ubaguzi unaofanywa na serikali yetu kwa kuamua kulipa wafanyakazi wa kada nyingine mishaara mirefu alafu wengine mishaara kiduchu na bila kupewa posho yoyote. Mimi hapa kwenye halmashauri niliyopo kuna kambi ya jeshi na watu wa game reserve ndo watu waliojenga nyumba na kutupangisha sisi walimu alafu wanakula bata kama kawaida na kusaidia kwao.
 
Back
Top Bottom