Anawezaje kupata ruhusa kuja kufanya interview US Embassy wakati yupo JKT Ruvu?

sifuri

Senior Member
May 12, 2013
154
88
Jamani kuna dogo anahitajika US Embassy kufanya interview ya kupata scholarship kusoma nje ya nchi tarehe 24na yupo JKT kwa sasa.

Je anawezaje kupata ruhusa ya kwenda kufanikisha suala hilo?
 
Back
Top Bottom