Nadhani kwa matokeo yako kwenda au kutokwenda shule ya serikali inategemea pia ushindani utakavyokuwa. Kama waliofaulu zaidi yako ni wengi zaidi, ni wazi kuwa kutakuwa na ugumu. Kinyume chake ni uwezekano mkubwa.
hiyo "F" ya number kwa HGE utasoma vizur tu advance ila course yoyote inayohusiana na biashara hapo utadunda may be za arts kiufup f hiyo itakuletea madhara baadae and not now piga hgl wala usiumize kichwa kwan hata hao wanao apply course za biashara kupitia hkl, au hgl kigezo kikuu lazima uwe na pass ya number o'level
Msaada wa matoke haya ya mwaka jana naweza kusomea course gani?
chem-B
Bios--B
Eng---B
Maths-C
Geo---C
Kisw---C
Hist---D
Civics-D
naomb ushauri kwa mwenye nayo make serikali haikunichagua na mpaka sasa cna mwekeleo
Mimi niliomba ushauri kwa sababu tu cjuchaguliwa na cjui niende wp hivyo kwa mwenye wa nini kitanifaa kwa matokeo hayo anijulishe kwani nashindwa nifanye nini kwa ambaye hajaelewa hayo matokeo ni ya mwaka Jana wakuu na ckuchaguliwa popote

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.