Chuo cha Ufundi Arusha kimekuja na Helicopter

Bonesmen

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
929
991
Hello wadau ikiwa ni wazo makini ambalo tayari limeanza utekelezaji Chuo chetu makini kabisa Arusha Technical college alimaarufu kama ATC kimeanza mikakati ya kuunda helicopter kutokea ktk workshop zao,Helicopter hio au chopper itakuwa na capacity ya kubeba watu wawili iko ktk hatua ya mwanzo mwanzo panapo uzima 2017 itapaa na kuanzia miaka ya mbele basi tutatumia ndege aina hizi kwa usafiri ndani ya nchi, ATC chopper project inalatibiwa na Wahandisi makini wawili Engineer Abdi Mjema sambamba na Eng.Adisai Msongole Juzi katibu mkuu wa wizara ya elimu sayansi Ms.Maimuna Tarishi alitembelea chuo hichi na kuoneshwa project hio ambapo alishangaa na kuuliza ni lini chopper hii ita paa angani Ambapo majibu yalikuwa ni kati ya 2017 au 2018.
 
tunafua vyuma vyetu wenyewe kwa ajili ya engine n.k au ni kuunga unga vya wenzetu? hata hivyo kila la kheri kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
Back
Top Bottom