Tume kuchunguza IMTU

Tume kuchunguza IMTU

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,388
Reaction score
6,482
Ni vema kuunda tume, lakini mbona watu wengi au ni kutafutiana ulaji. Tanzania bwana,.
 
niifanikiwa kijitabu kinaitwa NOT THE END OF THE ROAD ameandika Prof. Joseph K. Shija (immediate former IMTU Vice Chancellor) anasema wazi wazi pale IMTU kuna uozo wa ajabu wahindi wamejaa mazabe zabe tu. Kuna mengi tume kama itakataa hongo za wale wahindi itagundua. TUSUBIRI
 
Inabidi Pia KIU, Muslim University of Morogoro na St. Joseph vichunguzwe UPYA!!
 
Elimu ya Juu imechezewa kwa muda sasa. Mhe. Waziri hebu safisha huu uozo ili kujenga heshima ya Elimu yetu. Vijana wengi wanatoka vyuoni wakiwa hawana maarifa pamoja na kuonekana na GPA kubwa.
 
ngoja tuone mwisho wa mchezo.... hii ndio yatakiwa tumekuwa na incompetent graduates wasio kuwa na uwezo hata wa kumlinganisha na kidato cha nne.
 
Wahitimu wa vyuo vikuu binafsi wengi ni mushkeli
 
Back
Top Bottom