KUHUSU UCHELEWESHAJI MIKOPO TIA

ericford

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
265
68
Wana TIA tulitakiwa tupata quarter 4 toka tarehe 12/5 mpaka Leo hi hatujasign chochote na hakuna taarifa yoyote Zaidi bodi ya chuo inatuambia tukutane kesho kuna kikao
1466616888477.jpg
 
Tia hakunaga migomo kuhusu mikopo hata wapitishe muda zaidi miezi 2.... ' hiko kikao kwanza mtafika wachache, afu loan officer hatanyosha maelezo.... ' na kwa mpango huo boom july hapo
 
Tia hakunaga migomo kuhusu mikopo hata wapitishe muda zaidi miezi 2.... ' hiko kikao kwanza mtafika wachache, afu loan officer hatanyosha maelezo.... ' na kwa mpango huo boom july hapo
Safari hi hatuwaelewi aisee
 
Sasa nyie hata vyuo vingine bado MUHAS bado, CUHAS bado na hata IMTU Bado tulieni

Uko sawa mkuu?

Kutokupata kwa MUHAS na hao wengine uliowataja kunahusiana vipi na TIA kupata pesa yao? Walitakiwa wawe wamepata tangu mwezi jana,sasa wakidai kuna tatizo?Hata hivyo hizi ni pesa zao,watazilipa,kwanini wasipewe kwa wakati
 
mbona mizunguko mingi sana njia nyepesi ni kuwanunulia vijana viroba then walipeni kidogo wahuni waongoze migomo baada ya hapo mchezo umeisha,, inaonekana serikali ya wanafunzi hapo imejaa mashushushu ndio maana hamuwezi kugoma kama IFM
 
Kuna vyuo 35 mpaka havijapata mikopo Tanzania nzima nikikumbuka kauli ya yule mh "kwanza pesa yenyewe mkopo halafu unamcheleweshea mtu wanafunzi wakigoma kuhusu mikopo sasa hivi hawatafukuzwa bali watakaofukuzwa ni watendaji wa bodi"
Mwanasiasa mzuri ni yule aliyekufa au kustaafu wengine wote waongo tu.
 
Back
Top Bottom