Ongea kingereza ndani ya miezi mitatu na jomo kenyatta university arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ongea kingereza ndani ya miezi mitatu na jomo kenyatta university arusha

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by English_Course_JomoK, Apr 12, 2012.

 1. E

  English_Course_JomoK New Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta kilicho jijini Arusha kinachotoa masomo ya kilimo na teknoloija, Sasa kinatangaza nafasi ya English Course kwa cheti cha Certificate itakayoanza mwezi wa tano 2012.


  Kozi hii inafundishwa na wataalam wa kingereza ili uweze kuwa stadi katika kiingereza. Kwa kuongea,kujadiliana na kuandika na kwa wale wote wanaotaka kuboresha na kujiendeleza kielimu katika lugha ya Kiingereza


  Vipindi: Ni vya jioni
  Ada: TSHS 400,000/= TU kwa muda wa wiki kumi na mbili
  Fomu za kujiunga ni TSHS 10,000/= na zinapatikana Jomo Kenyatta University, IGM Consulting services karibu na Bonitte Bottlers
  Kozi hii ni maalum kwa watu wote waliohitimu kidato cha nne na kuendelea. Jiunge sasa nafasi nichache!

  Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0789-143834 au tuma barua pepe kwenda cvskillsigm@gmail.com
   
 2. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2016
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hello,please confirm kama bado mnaendelea na kufundisha english course at Jomo kenyata university Arusha
   
Loading...