Medical Students Mwaka wa 3 (MD3) wa ST.Francis wote wameachishwa chuo

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Jamani hii sio haki kabisa wala sio fair kuwafanyia watu hivi!,Hawa watu wamelipa Ada,wamepoteza mda wao miaka 3 sio mchezo halafu unakuja kuwapa Disco kwa sababu ambazo hazina Mashiko sanaa! Hii ni laada kwa alie fanya hiviii jamani

Duuui huruma inanishika sanaaa hasa machungu ya kupoteza miaka na ada pengine wachache ndo walio sababisha hata hivyo,Ujue wanafunzi hadi waanzishe element za mgomo kuna kitu/Vitu vinakuwa haviendi sawa so wangekaa kuwasikiliza

Wadau manasemaje mimi naona hii sio Fair
d57dc54b11d66052dc780e8f8b154e11.jpg
 
Sasa ndo msome sasa mnatakaje labda ,mpewe alama za bure kisa mko wengi
Komaeni sasa kwanza hawa ni wachache sana
 
Jamani hii sio haki kabisa wala sio fair kuwafanyia watu hivi!,Hawa watu wamelipa Ada,wamepoteza mda wao miaka 3 sio mchezo halafu unakuja kuwapa Disco kwa sababu ambazo hazina Mashiko sanaa! Hii ni laada kwa alie fanya hiviii jamani

Duuui huruma inanishika sanaaa hasa machungu ya kupoteza miaka na ada pengine wachache ndo walio sababisha hata hivyo issue ya simu Karibia vyuo vyote Tanzania wanaingia nazo ila sijui

Wadau manasemaje mimi naona hii sio Fair
d57dc54b11d66052dc780e8f8b154e11.jpg
Vyuo vya kipuuzi, chuo ni Muhimbili tu! Narudia chuo cha Medicine ni Muhimbili tu! Muhimbili tu! May be CUHAS, lakini ndio hao hao!
 
Jamani hii sio haki kabisa wala sio fair kuwafanyia watu hivi!,Hawa watu wamelipa Ada,wamepoteza mda wao miaka 3 sio mchezo halafu unakuja kuwapa Disco kwa sababu ambazo hazina Mashiko sanaa! Hii ni laada kwa alie fanya hiviii jamani

Duuui huruma inanishika sanaaa hasa machungu ya kupoteza miaka na ada pengine wachache ndo walio sababisha hata hivyo,Ujue wanafunzi hadi waanzishe element za mgomo kuna kitu/Vitu vinakuwa haviendi sawa so wangekaa kuwasikiliza

Wadau manasemaje mimi naona hii sio Fair
d57dc54b11d66052dc780e8f8b154e11.jpg
Napata picha ya utovu wa nidhamu ikiwa sbb zilizoanishwa hapa ndizo zilizo pelekea "discontinuation".Hili halikuanzia hapa nakumbuka hata enzi za Marais Nyerere na Mwinyi wengi walifukuzwa pale UDSM sbb ya utovu wa nidhamu. Ikiwa kigezo ni kulipa ada kubwa halafu uogopwe ama kwa kupewa alama za bure au kwa kutofuata miongozo ni hatari kwa taifa hili.
 
Jamani hii sio haki kabisa wala sio fair kuwafanyia watu hivi!,Hawa watu wamelipa Ada,wamepoteza mda wao miaka 3 sio mchezo halafu unakuja kuwapa Disco kwa sababu ambazo hazina Mashiko sanaa! Hii ni laada kwa alie fanya hiviii jamani

Duuui huruma inanishika sanaaa hasa machungu ya kupoteza miaka na ada pengine wachache ndo walio sababisha hata hivyo,Ujue wanafunzi hadi waanzishe element za mgomo kuna kitu/Vitu vinakuwa haviendi sawa so wangekaa kuwasikiliza

Wadau manasemaje mimi naona hii sio Fair
d57dc54b11d66052dc780e8f8b154e11.jpg

Danya vepe......umekuja kuwaje
What its no fair...... And what its fair... Mbona wote waliopita walikutana na mfumo huo huo kwa anaye fail ana chujwa kwa maana ya disco, wewe ulitakaje... Mitihani iondolewe ama wapitishwe tu hata kama amefeli......hii sector inahitaji watu makini sana kama ana fail unampitisha kama sio kuja kutoa poor treatment...... Wewe unakuja na arguments za huruma ya ADA na MUDA unataka taifa lifike wapi...
 
Hahahahahaha Mkuu wangefail nisinge waonea Huruma kabisaa lakini hapo Katika hizo sababu hawajasema kama wamefail ila inaonekana kuna matatizo Kati ya uongozi wa chuo Na wanafunzi

Kuna watu walikuwa chuoni kwetu na One za 5,6,7,8 wakapata SUP 3 wakaondoka ile First year sikuwaonea huruma kwa sababu najua inatakiwa wapige kitabu,Najua na mwezi wa Tisa wapo wa kuondoka watakuwa na SUP 3,lakini kwa sababu hizo hapana hekima ingechukua mkondo wake katika maamuzi
 
Machungu sana kupoteza ada
Ni kweli inauma sana na hata muda walioupoteza pia.Lakini kwenye tangazo la chuo lililo ambatanishwa kwenye hii post (No.2) linaonesha wanafunzi waligoma pia kufanya mtihani.Hivyo watakuwa na "incomplete",kilichofuata ni "disco".Kuna viashiria vya ushawishi wa kimakundi kugomea mitihani ndiyo sababu wote wame disco.

Ushauri wangu muathirika wa hili mmojammoja kwa wakati wake aandike barua ya kuomba msamaha kwa uongozi wa chuo badala ya kutafuta "public sympathy" huku wakisahau "university prospectus yao " inawaongozaje.
 
Kwa suala la simu lipo wazi! "huruhusiwi kuingia nayo kwenye chumba ya mtihan" japo baadhi huupuza!
Duh nawe umekurupuka..."refusal of sitting for scheduled examination...."hili ni kosa tosha for discontinue. Japo hatujui kwanini waligoma. Lakini kugoma kufanya mtihani walijua they knew the risk...
 
[23:42, 5/19/2016] Muthaa: Ndo ivyo mazee! Kuna watu wanajikuta wana mandate sana, hata kuhojiwa hawataki, wakifanya makosa kurekebisha hawataki....

Ni mkusanyiko wa matukio mengi yalochukua takribani wiki mbili huku md3 na utawala wa chuo tukiwa kwny mzozo ambao chuo kimeshindwa kusuluhisha...
[23:42, 5/19/2016] Muthaa: Class zima, cjui na chuo ni kama seseminary. Cjui waliwaza nn?
[23:42, 5/19/2016] Muthaa: Things are difficulty kwa sasa maana ni all MD3 SFUCHAS NOTICE AS IT SAYS KUNA A ADEMIC CRISIS SINCE UE RESULTS WERE OUT.. IKATOKEA KWAMBA PHARMACOLOGY WALISHIKWA WANAFUNZI 100 KATI YA 120 PAEDIATRICS WALISHIKWA 80 KATI YA 120 NA PIA INTERNAL MEDICINE SURGERY NA OBGY MATOKEO STILL NOW YAKO WITHELD UNTIL FURTHER NOTES IKATOKEA SHIDA KATI YA HAO WANAFUNZI 120 KUNA WANNE WALITAKIWA KUDISCO.. NDIPO MGOGORO ULIPOANZIA NA KUFIKIA WATU WOTE KUAMUA KUOMBA MTIHANI WA ENT USIFANYIKE MPAKA SULUHU YA MATOKEO IPATIKANE NA IKAJA HOJA KWAMBA HAWAKUBALIANI NA MMWENENDO WA ACADEMIC COORDINATOR WA MD PROGRAMME NA LECTURER WA PAEDIATRICS WALITAKA HAO WATU WAWILI WABADILISHWE NA LECTURER WA PAEDIATRICS ASIWE TENA MWALIMU WAO... MZOZO ULIKUWA MKUBWA NDIPO MD3 WAKAAMUA KUGOMA KUFANYA MTIHANI WA ENT NA KUINGIA CLASS WILIKAA CHINI WAKAENDA KWA PPROFESOR AMBAE NI MKUU WA CHUO WAKAFIKISHA MMALALAMIKO YAKO HAWAKUPATA MAJIBU MAZURI WAKAOMBWA KURESUME ACADEMIC PROCESS WAKAKATAA NA KUENDELEA MGOMO WALIALIKWA KUCHUKUA BARUA ZA ONYO WAKAKATAA KWENDA NA HAKUKUWA NA MTU ALIYECHUKUA BARUA... WAKAOMBWA WAONGEE NA. MWENYEKITI WA SFUCHAS GOVERNING BOARD AMBAYE NI ASKOFU WA KANISA KATOLIKI JIMBO LA IFAKARA WAKAMWELEZA SHIDA ZAO ILIKUWA JUZI NA ALIWAAHIDI TATIZO LAO MOJA TU NDILO LITAPATIWA UFUMBUZI KWAMBA ACADEMIC COORDINATOR ATABADILISHWA LAKINI WATU WALIOFELI ITABIDI WAFANYE SUPPLEMENTARY EXAM NA WALE WENGINE WANNE WATAISCO...ILIKUWA NI JANA WAKAPEWA NOTICE WARUDI DARASANI KUENDELEA NA MASOMO MAJIRA YA SAA NNE MPAKA SAA SITA LAKINI NA WASAINI KWAKBA WAMMEKUBALI MURESUME CLASSES LAKINI WALIONA NI MTEGO WANAWEKEWA NDIPO WOTE KWA UMOJA WAO WAKAAMUA KUTOTII AMRI HIYO NA HAKUNA ALIYEKUBALI KURUDI DARASANI MPAKA MADAI YAO YOTE YAFANYIWE KAZI.. LEOO...JANA WALIPEWA ONYO NA NOTICE KWAMBA ATAKAYEKAIDI KUSIGN KUWA ATARUDI CLASS JANA BILA SABABU BASI ITAKUWA AMMRTERMINATE MASOMO YAKE YAANI LUGHA YA KISHERIA NI SUMMARY DISMISAL... FROM STUDIESS YAANI DISCONTINUATION FROM STUDIES (DISCO) NDIPO LEO WAMETOA TANGAZO KUWA MD3 WOTE WAKO DISMISSED AND DISCONTINUED FROM MD PROGRAMME AT SFUCHAS..

Siezi kuandika yote, ila huyu aloandika hii kajitahidi kimtindo.....
[23:44, 5/19/2016] Muthaa: Bt nina matumaini tutashinda kwa kua till this tym hawajatupa matokeo, means probably hawakusahihisha, probably wamekadiria tu maksi......
(Maelezo ya mmoja wa wahanga)
 
Swala la busara nikukubali kuwa mmekosea, hata kama madai yenu ni ya hhaki.Kumbukeni sfuchas ni taasisi ya dini, hivyo wana maamuz yao binafsi chini ya baraza LA maaskofu TEC, ambayo hata serikali haiwezi kuingilia kuwatetea in case wakaamua kuwa futa kabisa. Ushauri wangu andikeni barua kwa baraza LA maaskofu kupitia kwa principal Wa chuo kukiri makosa , hata kama sio makosa na muombe msamaha kwa dhati huenda wakawa same he.Ila kwa hao waliodisco inabidi wakutane na maaskofu USO kwa USO may be it can work
 
inanikumbusha na mimi nishawahi kugoma,ndo kwa mara ya kwanza kujua msamiati "boycot" una maanisha nini,barua za kusimamishwa masomo tulipewa sku ya kumaliza mitihani/kufunga chuo.likizo ilikuwa chungu maana upo home peke yako tofaut na ukiwa chuo mnajipa moyo na wenzako.ushaona watu mnakonda likizo? hapo kila mtu anwaza kivyake,wengine tulifanya siri huku tukisubiri further notes wengine uvumilivu uliwashinda wakaomba tafu kwa wazazi.muda ulivyozidi kwenda ile unity ikafeli tukasanda.tulirudishwa chuo kwa batches kwa kutegemea ulishiriki kias gani hadi wap na ulikuwa na msimamo kwa muda gani.waliosarenda mapema walirud mapema kidogo though ni almost two months baada ya chuo kufunguliwa(nusu semester imeisha wabishi bado tupo home)
 
Back
Top Bottom