Swali kuhusu Selection kidato cha tano mwaka wa masomo 2016 /2017

Status
Not open for further replies.

Andrew Sosipeter

Senior Member
May 29, 2016
189
33
Habari zenu wana jf hivi hizi selection Za kidato cha tano ndo zimestishwa kama Ajira au wanacho subiri ni nini hasa na veep kwa DIV III kutoenda form five au kiki Za mitaa naomba wenye uelewa kuhusu form five mwaka huu anijuze Asanteni
 
Unajua ninachojiuliza hizi tetesi za kusema div III haendi advance nani anazitoa kwa kuwa kwenda advance tunaangalia point kwenye mchepuo wako sasa Kuna mtu ana div III kwenye comb yake mfano pcb ana c mbili na b moja jumla point 8 hapo hapo mtu ana div II kwenye combination ya pcb ana c mbili na d moja hivyo jumla point 10 nani mjanja hapo na kusema division III haendi advance
 
Yani mkuu hii nchi kwa tetesi ni noma cha muhimu ww ni kuvuta subra selection ndio zitasema ukweli na utaona watu watakavyo umbuka.
 
Kuna blog nimeingia nikakuta title ipo hivi MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO Herufi A_L nilipo click Majina yakakaja na combination ila cha ajabu ni mengi na hayajulikani ni Herufi gani
 
Habari zenu wana jf hivi hizi selection Za kidato cha tano ndo zimestishwa kama Ajira au wanacho subiri ni nini hasa na veep kwa DIV III kutoenda form five au kiki Za mitaa naomba wenye uelewa kuhusu form five mwaka huu anijuze Asanteni
Zitatoka wakishamaliza kukagua wafanyakazi hewa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom