Abdallah Wa Mchinga
Member
- Jun 14, 2015
- 9
- 3
Habari wadau wa jf,
Nina moja la kuliwasilisha ambalo ni ushauri,
Kwa yeyote aliyefeli kidato cha nne lakini bado anakusudia kurudi shule namshauri yafuatayo:-
1.Atie nguvu azma/kusudio lake asirudi nyuma.
2.Epuka kuwaomba ushauri vijana wa mtaani wasio na elimu kuhusu azma yako hiyo,kwani wengi watakuangusha na utakata tamaa<<nina ushahidi juu ya hili>90%.
3.Kuwa na subira na ni bora zaidi
Uanzie form two kuliko kureseat form four(private candidte) ili uje kufanya mtihani kama school candidate na sio private candidate-wengi inawagharimu.
4.Angalia ulipokosea mwanzo na weka azma ya kujirekebisha.
5.Jibidiishe katika kusoma kwani ndio msingi wa mafanikio.
Nawasilisha