Hii Offer ID inapatikanaje,? Nafanya application ya scholarship Australia

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,830
4,727
Wakuu kuna scholarship zimetangazwa na chuo kimoja huko Australia... Nilipoanza kuomba ikafika stage inaniomba Offer ID na maelezo yanasema bila kuwa na hiyo huwezi kuendelea na process. Nahitaji kujua nitaipataje uli nimalizie. Ahsanteni.
 
Je ulipata admission ya chuo?na je hiyo scholarship unayoomba inatolewa na chuo au organization flani?madhumuni ya maswali ni kuwa usikute umeomba scholarship before admission maana baadhi ya vyuo unaomba admission kwanza then una apply scholarship so kwa mawazo yangu labda wanakuomba ID ya admission offer uliyopata.
 
No admission offer ya chuo ulichoomba. Unatakiwa uombe chuo kabla ya hiyo scholarship.
 
Hii kitu huwa inachanganya sana. Mlete mada hukusoma scholarship application criteria vizuri. Vyuo vingi Australia unaomba kwanza admission ndio baadae una apply scholarship hata kama chuo ni hicho hicho. Kuna vyuo vingine ukiapply admission ni pamoja na scholarship.
 
Back
Top Bottom