Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wanafunzi wa first year sokoine university of agriculture tukutane hapa kubadilishana mawazo naomba kuwasilisha maada
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari zenu wadau, mimi ni mkazi wa Dar, nahitaji shule ya advance iliyo mkoani tofauti na Dar yenye unafuu wa gharama. shule iwe ya bweni (boys) au (mchanganyiko). Combination ni HGL...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
We have not opened our online Loan Application System for 2016/2017. We will notify members of the public when the system is opened. Please wait ! Hatujaanza Kupokea maombi ya mkopo kwa njia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimepangiwa Iwalanje High school Mbeya PGM kwa wanao ijua mazingira & ki academic ni nzuri au niende private tu.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Katika hali ya kushangaza na kusisimua leo hii nimekutana na wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye furaha na bashasha kubwa huku wakieleza furaha yaho juu ya hali...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Kuna vijana walimaliza kidato cha nne kaengesa seminary na kufaulu vizuri ila kinachoonekana hawakuja jaza fomu kwa ajili ya kuchagua combination je kwa sasa wanatakiwa wafanye nini ili wapate...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Ni process zipi naanza ili nibadilishe comb
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wa JF.Naombeni kuuliza ni hatua gni za kufata ili kubadili shule maana mimi nimechaguliwa PCM nina 1.13 nahitaji kwenda KISIMIRI
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua kama naweza kusoma mpaka kufanya mtihani wa kidato cha nne kwenye mtandao Tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Ni kweli bodi ya mikopo wametangaza kupokea maombi kuanzia tarehe 27/06/2016 je OLAS Itafungulia kesho SAA ngapi?
0 Reactions
3 Replies
940 Views
Habari wanajamii Nna Mdogo Wangu amechaguliwa kwenda kidato cha tano katika shule ya mkugwa. Naomba kujua mazingira yake kwa ujumla, je kuna walimu Wa kutosha na vifaa vya kufundishia? Natanguliza...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Salaam ndugu zangu. Natumaini nyote mnaafya tele na weekend yaenda vizuri. Kama kichwa cha habari kilivyo sema hapo juu, nilikua naomba mwenye utaalam na uzoefu wa haya maswala anisaidie nipate...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Katika hali ya kushangaza na kustahajabisha ni kuwa uongozi wa chuo kikuu dodoma ofisi ya mashauri wa wanafunzi iliopo chini ya Dick Manongi imeshindwa kabisa kuwaita kuwahoji wanafunzi na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habar wana JF kwa yeyote mwemye Vitabu na anahitaji kuuza naomba anijuze PHYSICS -Rodger Muncaster -Tom Duncan -Nelkon 3rd Edition CHEMISTRY -Ramsden -Chand class XII Hata kama una kimoja kati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa MTU aliyesomea HGL mbali ya kuwa mwalimu ,anaweza akawa nani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mhe Dr. Joyce Ndalichako heshima kwako na pole na majukumu ya kila siku. Mhe waziri napenda kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kilio cha wanafunzi wengi wanaosoma Taasisi ya elimu ya...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
jamani mwenye joining instruction ya tumaini sekondary school
0 Reactions
1 Replies
764 Views
Ndugu wana jf naombeni Masada wenu kwa mwenye joining instructions ya AZANIA HIGH SCHOOL anitumie kwenye email andrewsosipeter@gmail.com
0 Reactions
3 Replies
45K Views
Wadau anayeweza kunisaidia kupata joining instruction ya Mpanda Girls binti yangu amepangwa hapo PCB
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom