Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi wa 6 na 7 2016

May 28, 2015
64
11
Habari wana jamii forum.
Teachers' Junction kupitia kitengo chetu cha Teachers Networking Centre kinachojihusisha na kuwaunganisha walimu na shule za watu binafsi (private) nchini, ambapo tunapokea order kutoka kwa shule ikiwemo shule iko wapi,inalipa kiasi gani, inatoa nini (chakula,nyumba usafiri nk) kisha tunampeleka mwalimu kwa ajili ya interview huku akifahamu mpaka aina ya interview.

kwa sasa tuna mahitaji makubwa ya walimu kuanzia ngazi ya Nursery,Primary,Ordinary na Advanced level.
uhitaji ni mkubwa hivyo tunapokea mwalimu amabae amemaliza chuo,anayefanya kazi, anayetaka kubadili,ambae yuko mtaani anatafuta na ambae amewahi kufundisha.

mwalimu huyu atapimwa, atasajiliwa,atafanyiwa workshop training kisha atapewa nafasi tatu kufanya interviews kwenye shule tofauti.
Nb:
Kama mwalimu hana sifa hataruhusiwa kufanya Registration wala hatafanya malipo yoyote ila tutamshauri nini cha kufanya.

mwalimu anaombwa kuja kwetu akiwa na cv,copies za vyeti vyake na picha tatu za passport size.
Registration fee ni 20,000/= workshop training ni BUREEEEEEEE
Workshop training atajifunza lesson plan,class management,nature of interviews,students behaviors,blackboard management na mengine mengi.

Registration kwa sasa zinafanyika:
Magomeni mapipa Dar es salaam
pia tunapatikana morogoro,pwani na soon mkoani mwanza na Mbeya.

kwa maelezo zaidi tupigie:
+255(0)713-810857 Pwani
+255(0)753-810857 Dar es salaam
+255(0)783-810857 Morogoro
kwa walioko mkoani mnaweza kufanya online or mobile registration:

E-mail: teachersjunction@hotmail.com
unaweza kutu-follow:
Instagram: @teachersjunction
twitter: @teachersjunction

Proud to be a Teacher,proud to have school of your echelon.
 
Nyie wahuni tu mwalimu kama mwalimu amepitia field wengne ni wazoefu katika kufundisha sasa mambo ya classroom mngtment, matumizi ya ubao , scheme of work, lesson plan mpaka tena semina wakati watu wameyasomea miaka 2 au mitatu hapo cha muhmu ni usahili tu
 
Habari wana jamii forum.
Teachers' Junction kupitia kitengo chetu cha Teachers Networking Centre kinachojihusisha na kuwaunganisha walimu na shule za watu binafsi (private) nchini, ambapo tunapokea order kutoka kwa shule ikiwemo shule iko wapi,inalipa kiasi gani, inatoa nini (chakula,nyumba usafiri nk) kisha tunampeleka mwalimu kwa ajili ya interview huku akifahamu mpaka aina ya interview.

kwa sasa tuna mahitaji makubwa ya walimu kuanzia ngazi ya Nursery,Primary,Ordinary na Advanced level.
uhitaji ni mkubwa hivyo tunapokea mwalimu amabae amemaliza chuo,anayefanya kazi, anayetaka kubadili,ambae yuko mtaani anatafuta na ambae amewahi kufundisha.

mwalimu huyu atapimwa, atasajiliwa,atafanyiwa workshop training kisha atapewa nafasi tatu kufanya interviews kwenye shule tofauti.
Nb:
Kama mwalimu hana sifa hataruhusiwa kufanya Registration wala hatafanya malipo yoyote ila tutamshauri nini cha kufanya.

mwalimu anaombwa kuja kwetu akiwa na cv,copies za vyeti vyake na picha tatu za passport size.
Registration fee ni 20,000/= workshop training ni BUREEEEEEEE
Workshop training atajifunza lesson plan,class management,nature of interviews,students behaviors,blackboard management na mengine mengi.

Registration kwa sasa zinafanyika:
Magomeni mapipa Dar es salaam
pia tunapatikana morogoro,pwani na soon mkoani mwanza na Mbeya.

kwa maelezo zaidi tupigie:
+255(0)713-810857 Pwani
+255(0)753-810857 Dar es salaam
+255(0)783-810857 Morogoro
kwa walioko mkoani mnaweza kufanya online or mobile registration:

E-mail: teachersjunction@hotmail.com
unaweza kutu-follow:
Instagram: @teachersjunction
twitter: @teachersjunction

Proud to be a Teacher,proud to have school of your echelon.
kweli nyie SIWAELEWI hiv mwalimu kasoma miaka mitatu halaf kajifunza leson plan,scheme of work and others sasa nyie hiyo semina ni yann mbona kama sielew au mnawafundisha scheme of work ya LONDON&WASHNGTON ujanja mwingi tz watu wanatumia fursa baada ya ajira kuchelewa
 
Upuuzi huu na wizi, kama mwalim tayari kashajifunza yote hayo akiwa chuoni, hayo mafunzo ya nini tena? Nyie ni wahadhiri wa vyuo?
 
Haaaaa i like it
lakini mwalimu huwa anajua knachosemwa tatizo la humu hata mtu wa sales nae atataka ku comment mada ya jinsi ya kufanya operation mwilini.
 
Humu ndani nouma kama huna moyo unaweza kufa kwa presha za vijembe.
ila karibuni walimu its serious and we mean what we are doing
wewe @ ilikua 2013 wacha kuwatisha watu bhana.
 
Vp ukitoa halafu ukose job,utarudishiwa Salio?
kwanza huwezi kulipa kama hujajirudhisha.
then ukiona kweli ukakubaliana na terms na condition zetu then utakuwa registered but honestly hutorudishiwa registration kama umeshapelekwa kwa interviw tatu na umeshindwa
 
Maisha yanazidi kuwa magumu.Kila mtu anabuni njia ya kupiga
Sasa @ Ze Heby unasema without dark you never see the start
Tanzania tusizoee mfumo huo huo people should be creative to save others.
mbona tunalalamika maisha magumu lakini wengi tunakatishana tamaaa?

appreciate any who can do what you can not do
 
wez tu hawa nlishaenda oficn kwao wakanipiga elfu 10 yangu alaf sound
for sure ukija kwetu ni mwalimu wa hesabu basi ujue hiyo hesabu ukikurupuka tu unapelekwa shule ya kwanza unajing'ata huwezi kudeliver ya pili the same na ya tatu no aaaaaahh utakalia bench.
tunafanyakazi na shule kuwa ambazo zinahitaji walimu waliojidhatiti.
pia registration sio 10 ni alfu 20.
 
Mimi ni mwalimu by professional ila nilijiendeleza na kuchukua bachelor ya uhasibu na ni mwalimu wa Hesabu, wakati niko kitaa najipanga nataka nijishikishe kwenye shule, Je naweza Pata kiasi ninachotaka cha digit 7, ktk kufundisha kwangu sikuwahi kukosa A ya B/Math kwa mda niliokuwa nafundisha.
 
Naona mmeanzisha uzi mpya! Hebu Teachers Junction wekeni utambulisho rasmi kama usajili wa taasisi yenu, mahali zilipo ofisi zenu nk.

Halafu ninyi mnaotafuta kazi kama kweli mmefuzu na mnajiamini mtakuwa na sababu gani kumlipa mtu fedha ambazo mnapaswa kutumia kufanya mawasiliano ili muimarishe mtandao, nauli za kuwapeleka katika hizo shule wenuewe nk?
 
Back
Top Bottom