Mikopo elimu ya juu

Wameanza jana changamkia nafas

Ila kupata mkopo had uwe unasoma MD, nursing nk pmj na walimu wa masomo ya sayansi, et pia div 1&11
 
Wameanza jana changamkia nafas

Ila kupata mkopo had uwe unasoma MD, nursing nk pmj na walimu wa masomo ya sayansi, et pia div 1&11
Mm nasoma uhasibu ndugu yangu....mashart aje hapo....na nmeckia et kama uko chuo tayar hupat. ...n mpka ukae hom mwaka mzima
 
Kwaiyo unatushauri tuombe au tusiombe?
Ukisoma kitabu Chao
Kinasema
Kipaumbele kwa watakaopata mkopo ni MD, nursing, mid wife na walimu wa masomo ya sayansi
Waliopata daraja la kwanza na la pili

Na wamesema watatoa mkopo kadri ya pesa itakayotengwa

Hivyo bora uombe tu, kuliko kutokuomba
Mungu ni mkubwa anaweza kutenda miujiza
Japo serkal hii haifati kanuni wala sheria
 
Back
Top Bottom