Kamwe usitumie vigezo hivi vitatu kuchagua Chuo, utajutia

Jun 21, 2016
19
37
Natumaini mpo vema wanajF.
Usichague Chuo kwa kutumia Vigezo vifuatavyo Itakugharimu.
1.Ukubwa wa Jina:Hapa watu wanafanya makosa kwa kulewa na jina(e.g UDSM,KCMC,MZUMBE tu mtu anachukulia kigezo pekee cha kuchagua Chuo,bila kujali vigezo vingine.
2.Msukumo wa Familia:Kuna familia wanashinikiza kijana wao akasome Chuo fulani hata kama huyo mwanafunzi hakipendi.
3.Msukumo kutoka kwa marafiki.
4.Matangazo:Wapo ambao hulewa kwa matangazo,Akiona tu Tangazo la chuo fulani tayari amekipenda na kutaka akasome-Shida inakuja pale anapokuta mambo tofauti na alivyotarajia.
@may_help_too
 
ungetoa na mwongozo
 
Back
Top Bottom