Mkuu, tulia uandike vema.Heshma kwenu wadau. Je, ni hizi habari zinazovuma kwamba waziri wa elimu kasema kuanzia mwakani hamna kuresiti(wale Pc candidates) wa f4 labda urudie f2 kuanzia mwakani ama ni uongo? Nimeamua kulileta hapa jf najua hapa hamna ubabaishaji. Asante.
Mkuu hii habari umeipata wap?Heshma kwenu wadau. Je, ni hizi habari zinazovuma kwamba waziri wa elimu kasema kuanzia mwakani hamna kuresiti(wale Pc candidates) wa f4 labda urudie f2 kuanzia mwakani ama ni uongo? Nimeamua kulileta hapa jf najua hapa hamna ubabaishaji. Asante.