Tangu tarehe 8 mwezi huu sisi tulisaini boom, ktk kitivo cha sayansi asilia na hisabati, hapa UDOM lakini mpaka hapa hatujapata hizo hela
Wahasibu hawa wana majibu ya "hovyo" na mmoja wao huwa anapiga makofi na ngumi wanafunzi(wanachuo).Hata kama kuna tatizo lilitokea la kuchelewesha boom walipaswa waoneshe "sense of responsibility" kwa kutoa hata tangazo la kutupoza. Naomba wizara ya elimu na helslb waliangalie hili, au basi hizi hela za "chakula na malazi" ziitwe "hela za mavazi na starehe. Nawasilisha hoja.