RATIBA YA MTIHANI WA NECTA KIDATO CHA NNE MWAKA 2016 ITATOKA LINI?

Kuna baadhi ya shule na mikoa wanadai kuwa imesha toka muda mrefu ila kwa huku mkoa wa morogoro hakuna shule ya serikali iliyopata ratiba hiyo mbaka sasa. Ivyo nilikuwa naomba kujua je imetoka au bado kwani hata ukiingia necta bado hawajaiweka.
 
Msijali wanafunzi, itatoka tu na mwezi nafikiri mnaujua, endeleeni kujiandaa kwani challenge zinaongezeka kwenye idara ya elimu
 
Back
Top Bottom