Jordan jacob
Member
- May 28, 2016
- 26
- 4
Nimepata dv 2 ktk mtihani wangu wa kidato cha nne,nikiwa na alama zifuatazo,math F,english B,hist B,civ C,geog C,kisw C,chem D,phy D,biology C.je naweza badili comb niende CBG maana nimepangiwa HGL.
Umefeli hesabu at least ungepata pass Prof Ndalichako hatoweza kukubali hilo lifanyike akiwa hai labda itokee miujiza...Nimepata dv 2 ktk mtihani wangu wa kidato cha nne,nikiwa na alama zifuatazo,math F,english B,hist B,civ C,geog C,kisw C,chem D,phy D,biology C.je naweza badili comb niende CBG maana nimepangiwa HGL.