Wakuu naomba kujuzwa shule za watoto watukutu shule ya msingi

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Jamani nna mtoto nataka mpeleka huko ila sijajua ziko ngapi na taratibu zake nimeskia moja ipo mbeya je ni kila Mkoa??? Mi nipo morogoro naomba kujuzwa please
 
Mpelekee Jakaya Kikwete Islamic English Medium Primary School, iko Muleba Kagera. Kigezo kikubwa awe muislam. Hata awe kichaaaaaaaa wa aina gani, atapona tyu pale... Sheria zake kwa watoto ni kali sana. Akitoka pale ashanyooka...
 
Asante ila huyu ni mkristu
 
Kama ni mdogo, twaweza ongea na Mkuu wa shule na akapewa priority. Ama kukubali abadili jina tu na Sala zake ziendelee kama kawaida....
 
Sawa, get ready. Nitafute kwa namba hii hapa 0713541056 kesho nikueleze
 
Tupe maelezo kidogo kuhusu utundu wake hata uamue kumpeleka huko.
 
Shule iko mafinga jkt mpeleke hapo yatakuwa mtoto mwema kabisa hao hawataki mtoto mpole wao wanawataka hao watukukutu tu
 
Back
Top Bottom