Natamani kujua kuhusu tanga technical kwa advanced level wanavaa mashati ya mikono mirefu au mifupi???? Then duka lao unaweza kununua baadhi ya vifaa ambavyo vipo kwenye fomu?? Na ni vifaa gani...
Wadau ni bora kusoma A level kwa mwaka mmoja au kusoma open university foundation course kisha kusoma degree Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi kipi in bora kati ya hivi vitu viwili
Heshima zenu wana jukwaa,
Nahitaji kusoma MBA chuo kikuu huria, OUT, mwenye ufahamu ni jinsi gani natakiwa kuenenda, yaani wanadahili lini, gharama za kozi, muda gani ntachua kumaliza na mambo...
Nimejaribu kulipia kwa njia ya M-pesa lakini kuna sehemu nafika nakwama wanasema niweke namba ya akauti noamba msaada. nifanyaje?
au kama njia ninayo tumia sio sahihi ningependa kujua njia sahihi..
jaman wadau kunani huko nacte mana nashangaa mda unazid kwenda hamna updates zozote kweny profile yao. na Wiki yakwanza ya mwez7 ndo imeisha ivyoo. now hatuwaelew wanampango gan??? mweny tetesi...
Msaada wa haraka kuhusu post form four education mm ni mehitimu kidato cha sita 1992 lakin kila nikijaza index namba yangu kipengele cha post education naambiwa wrong index number naomba msaada...
Wadau habari zenu na heri ya Idd.
Nimeingia tovuti ya heslb kwa kusudi la kujiandikisha kuomba mkopo.Nimestushwa na yafuatayo:
1.Sura yote ya tovuti haionekani.Kuna kisehemu kama robo tovuti...
NACTE walitoa Announcement Ya Kuwa Watafungua Tena Dirisha la Kupokea Maombi ya Udahili Kwa Vyuo Vikuu Wiki Ya Mwisho Ya Mwezi wa Sita! Lakini Mpaka Leo hii tarehe 28/06/2016 hakuna Dalili yoyote...
Eid Mubarak wapendwa...
Kuna ndugu yangu anataka kwenda kusoma Bachelor degree chuo kilichopo nje ya Africa. Emaliza comb ya HGE. Je, ni Course gani nzuri yenye soko ambayo anaweza kusomea nje...
Katika viambatanisho vya kwenda bodi ya mikopo unatakiwa kutuma na cheti cha diploma. Sasa mimi nimemaliza mwaka huu so sina cheti,je ntafanyaje ndg msaada wenu tafadhali
Naombeni kwa anaye kufahamu hiki chuo anipe ufafanuzi,
Je? kipo jirani na UDSM na veep kuhusu taaluma kinafaa kuchukua DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION kwa mtu mwenye Division III
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.