Msaada: Kuhusu chuo cha Mlimani Teachers College

Andrew Sosipeter

Senior Member
May 29, 2016
189
33
Naombeni kwa anaye kufahamu hiki chuo anipe ufafanuzi,

Je? kipo jirani na UDSM na veep kuhusu taaluma kinafaa kuchukua DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION kwa mtu mwenye Division III
 
Google kama hakipo huko kitose au nenda www.nacte. go.tz kuna, registered collage zote za tz utaona kama kipo
 
Back
Top Bottom