Scholarship USA

zaitmemee

Senior Member
Aug 14, 2015
186
38
Habari wakuu. Mm ni mwanafunzi wa Pharmacy hapa St.John. ila na malengo ya kwenda kusoma USA. How do I go about?
 
Mimi namaliza mwezi huu chuo kikuu cha dar es salaam faculty Bsc. Meteorology nataka nikasomee Msc then Phd. In Atmospheric Science
Nifanyeje ili nipate scholarship?
 
Unataka kwenda kufaya nini huko USA wanakowaua watu weusi?

Polisi wa huko wakikuona wewe uko mweusi wanakuua....ndo unataka kwenda huko?

Si ubaki tu huko kwenu mavumbini....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom