Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

hiv kwa wale profile zao hazijabadililka inakuwaje au ndo mchakato unaendelea
0 Reactions
68 Replies
18K Views
Ndugu wana jf nilijichanganya nikaristore cm bila kuopi password zangu zilizokuwa kwenye cm nitafanyeje ili nizipate msaada please contact 0758494651
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Ndugu zangu kwa hizi tetesi ninazozisikia ya kuwa div one na two form six wa mwaka huu ndio wataochaguliwa kwenda elimu juu. Hivyo endapo jambo hili litafanyika basi form six wa miaka ya nyuma...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jaman naomba mnijulishe kwa sisi tulomaliza form six mwaka huu tunafanyeje izo application coz wamesema tuambatishe Na certificate ya form Six sasa sisi tulomaliza mwaka huu form six...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba mwenye number ya Matron wa Alfagems Sec. School anisaidie
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Mzazi au mlezi anaehitaji mwalimu wa kumfundisha mwanae muda wa ziada anitafute. Nafundisha masomo karibu yote kwa wanafunzi wa kidato cha pili kushuka chini. Kidato cha tatu na nne nafundisha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wadau, namtafutia mdogo wangu wa kiume shule nzuri ya dini (Seminary) ya secondary (O-LEVEL), kati ya mkoa wa morogoro, kibaha au bagamoyo. Yenye maadili mazuri na pia mazingira ya...
0 Reactions
10 Replies
49K Views
Faculty ipi IPO vizuri kati ya hizo mbili kwa upande wa ajira/soko?[emoji122] [emoji122] [emoji122]
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari wakuu wangu!.Kuna anefahamu chuo kinachotoa kozi ya Master ya Research,monitoring and evaluation kwa hapa Tanzania,Kenya au Uganda.Kama Kuna mtu anafaham anifahamishe tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waliochaguliwa na Nacte kwenda udsm halafu bado wanasema tusubiri confirmation kutoka chuo wana maana gani? Hapo hapo ukiingia website ya chuo, wapo silent kutoa majina na opening date in 31-10...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Ndugu wana JF naombeni Masada kwa hili nahitaji kufahamu kwa ukiwa umeaply NACTE na ukawa hujachaguliwa. Je ikifika tena muda wa kufungua system, je utaomba upya kwa kulipia pesa tena au kuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kuna haja gani ya kukataza siasa vyuoni wakati utawala wa vyuo unaonesha unawahitaji viongozi wa chama kipi????
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani nimejaribu kuingia katika website yao lakini sijaona sehemu ya kuanzia kuapply mkopo. Kwa wale wazoefu naombeni msaada nianzie wapi
0 Reactions
5 Replies
3K Views
jaman wakuu nisaidien shule za private zenye gharama nafuu hatakama haifanyi vizur katika motekeo yake iwe inamichepuo ya sayansi ada isizidi lak 9
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hist d, Chem f, English c, bios c, math f,kiswahil c, civcs c, geography c, phsic f. please naomb kujua hiyo no dv ngap wada??
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jameni nataka kusoma Open University nina diploma ya GPA 3.6 vipi inakubali? Pia mwenye kujua utaratibu wa kufanya application nataka kusoma hapo.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna mdogo wangu amepata C moja na D moja Je! Anaweza kujiunga na T.I.A
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kutokana na tatizo linalowakumba wanafunzi wengi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano (tatizo la kupata joining instructions), kwa kushirikiana na mkuu wa shule ya sekondari Mwendakulima...
1 Reactions
189 Replies
111K Views
Jamani naomba msaada wa haraka jinc ya kuupload picha kwenye form za heslb kwa sababu tangu juzi nasumbuka naitaji nifahamishwe yafuatayo 1.aina ya picha inayoitajika kamani jpg, jepg, bmp png...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Kwenye kujisajili ili uweze kuomba mkopo Kuna sehemu ya national ID number vipi kama nikijaza namba ya cheti cha kuzaliwa itakua sawa au mpaka nipate national ID chenyewe
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom