Ndugu wana jf naombeni Masada juu ya hili je ili usajiliwe kufanya necta form six hususani wanaosoma private school unatakiwa uwe na C flat kwenye comb au C Tatu kwenye cheti na kama ni kwenye...
Mdogo wangu alirisiti mwaka jana masomo 6 majibu yakawa hivi;
Kiswahili D
English C
Literature C
History C
Geography D
Civics D
Sasa alienda kuchukua form shule moja ya advance ipo hapa Dar...
Habari wana jf wenzangu,
Natumai mu wazima wa afya...
Mimi ni binti mwenye elimu ya darasa la 7, Dhumuni langu ni kujiendeleza kielimu hasa kwa kujikita kusomea kozi yenye maket sokoni..
Je kwa...
Habari Wana Jf, nimejaza hatua zote kwenye fomu ya Maombi ya Mkopo Heslb lakini hichi kipengele cha "Post Form Four Education" kimekuwa tatizo kubwa. Nisaidieni tafadhali
MASOMO MATATU
SOMO LA KWANZA.
Nilikuwa kanisani nikimsikiliza muhubiri mmoja maarufu, muhibiri alitoa mfukoni noti za shilingi elfu kumi kumi zilizokuwa na jumla ya Tsh laki moja, akauliza, "ni...
Mwalimu mmoja kutoka Minnesota, aliwaambia wanafunzi wake waandike majina ya wanafunzi wenzao ( classmate) na waache nafasi kati ya jina moja na jina jingine. Kisha akawaelekeza waandike vitu...
Wakuu,
Ningependa kufahamu kama kuna chuo kina toa course ya building management course au course ambayo ipo kwenye same discipline.
Natanguliza shukrani zangu.
Hiki chuo kinatoa mafunzo ya wahudumu wa afya(Medical Attendants), ndicho chuo kinachoongoza kwa kuuza vyeti kwa watu bila hata kupata mafunzo katika chuo hicho then watu hao ndio wanaenda kutoa...
Ndugu wana jf rejea maada tajwa hapo juu natafuta shule ya private yenye bei nafuu day jijini mwanza yenye high school na iwe vzr academic unaweza utaniambia shule ipi nzuri na ikiwezekana...
KANUNI YA AKIMEDES:
Kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.
Bora tuendelee kusoma kwa kiingereza[emoji23][emoji23]
Habari;Ndugu zangu naombeni mwenye taarifa juu ya shule ya Sekondari ya Bukongo ambayo ipo Ukerewe ..nijuzen kuhusu mambo muhimu kama Michepuo yao hapo shulen na hali halis ilivyo.
Wataalamu naomba kujua, ikiwa kijana amechaguliwa kujoin form five na wakati huo huo alikuwa ameomba NACTE, Je NACTE watamchagua?
Ufaulu wake ni mzuri (Division 1)
Habarini Wakuu,
Nauliza, endapo mwanafunzi alisoma combination ya Chemistry, Biology na Nutrition (CBN) form 6 na kufaulu vizuri, anaweza kuapply course ya Doctor of Medicine na akachaguliwa...
Hebu tujadiliane kidogo, kwani kuna allocations ambayo imefanyika kwa kupeleka wanafunzi sehemu ambayo ilikuwa haijaandaliwa kwa ajili ya kupokea wanafunzi wa kidato cha tano. Wanafunzi hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.