Uniform kwa advanced level Tanga Technical School

Juan Mlula

Member
Jun 27, 2016
11
4
Natamani kujua kuhusu tanga technical kwa advanced level wanavaa mashati ya mikono mirefu au mifupi???? Then duka lao unaweza kununua baadhi ya vifaa ambavyo vipo kwenye fomu?? Na ni vifaa gani kwa mfano???
 
Karibu sana TTS mkuu nimepita hapo miaka kidogo Mashati ni mikono mifupi unaweza kuja kushonesha uniform shule au ukatoka nazo huko, Karibu sana kiungani
 
Dah vip duka la shule lina vitu ambavyo vimewekwa kwenye fomu??? Mfano slesha, jembe, fagio, squizer n.k?????
 
Then vip mbona mashat ni mikono mifpi kama nilivyouliza, au amenipiga changa la macho nin??? Ni kweli mkon mifupi???
 
Back
Top Bottom