mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 96
Naomba kuuliza kama una diploma ualimu G.P.A ya 2.3 unaweza kusoma out na je unaaply wap?
Bado hawajafungua, nafkri had mwezi wa naneNimeenda open kwa matokeo yangu form 6 wakaniambia niapply kupitia tcu lakini kila nikipita website ya tcu sion sehemu ya kuapply tulio na matokeo tayari??
Ndugu mitihani ya diploma kuanzia mwaka jana kurudi nyuma si ya semista ndio maana vyuo vyote nchi nzima kwa miaka mitano mfululizo hakujawahi kutia distinction, wala merit na credit nazo ni zakuhesabu waweza kuta chuo kizima chenye wanachuo 600 marit zipo tano au sita tu zilizo baki ni pass, kwa walio wahi pitia huko wanamajibu mziki wa huko, hata kama ulipata 1 ya 3 six huko lazima ukae.G.P.A yako ipo chini sana wewe kwanini mnapenda kula bata mkiwa chuo ?????muwe mnasoma kwa bidii hii inakubhana ukitaka kuendelea open utaiweza kweli kama convetional ulipata hiyo G.P.A open si ndoo majanga any way kuna njia mbili za kuapply degree moja kupitia TCU na ya pili ni direct chuoni moja kwa moja visit centre za open lakini acha bata jipange open kuna msuli hakuna wa kukuambia soma but inatakiwa self despline over gharama ya kuapply chuoni direct ni elfu thelasini tu na unachagua kozi moja unayotaka kusoma
Acha uongo bhana, kusoma ni bidii za mtu bhana, kuna madam nipo nae ktuo kimoja alipiga G.P.A Kali balaa, masomo take mengi kapiga A Ila ukimwangalia ni mshamba wa vitu vingi sana, inaonesha alikuwa serious Na kitabu tu, wanaofeli ni wazembeNdugu mitihani ya diploma kuanzia mwaka jana kurudi nyuma si ya semista ndio maana vyuo vyote nchi nzima kwa miaka mitano mfululizo hakujawahi kutia distinction, wala merit na credit nazo ni zakuhesabu waweza kuta chuo kizima chenye wanachuo 600 marit zipo tano au sita tu zilizo baki ni pass, kwa walio wahi pitia huko wanamajibu mziki wa huko, hata kama ulipata 1 ya 3 six huko lazima ukae.
Huyu namjua mkuu,nimesoma naye chuo bunda alikuwa ki.laz.a sana,kichwani hamna kitu,ila mwaka wetu mtu wa kwanza alikuwa na pass ya gpa ya 3.3 na wapili 3.0,na tulikuwa kama 170,G.P.A yako ipo chini sana wewe kwanini mnapenda kula bata mkiwa chuo ?????muwe mnasoma kwa bidii hii inakubhana ukitaka kuendelea open utaiweza kweli kama convetional ulipata hiyo G.P.A open si ndoo majanga any way kuna njia mbili za kuapply degree moja kupitia TCU na ya pili ni direct chuoni moja kwa moja visit centre za open lakini acha bata jipange open kuna msuli hakuna wa kukuambia soma but inatakiwa self despline over gharama ya kuapply chuoni direct ni elfu thelasini tu na unachagua kozi moja unayotaka kusoma
Naomba kuuliza kama una diploma ualimu G.P.A ya 2.3 unaweza kusoma out na je unaaply wap?
Hapana ndugu yangu....tena masomo ya education n ya kawaida sanaNdugu mitihani ya diploma kuanzia mwaka jana kurudi nyuma si ya semista ndio maana vyuo vyote nchi nzima kwa miaka mitano mfululizo hakujawahi kutia distinction, wala merit na credit nazo ni zakuhesabu waweza kuta chuo kizima chenye wanachuo 600 marit zipo tano au sita tu zilizo baki ni pass, kwa walio wahi pitia huko wanamajibu mziki wa huko, hata kama ulipata 1 ya 3 six huko lazima ukae.
Umenielewa lakini? Hebu soma tena hoja yangu maana hata wewe hapo huna GPA ya 5.0 kwa nini ulishindwa? Na Sijasema haiwezekani lakini ni ngumu sana na sio rahisi sana labda kwa gifted student hasa kwa kuzingatia mfumo wa mitihani na mitaala ulio kuwepo kabla ya kuubadili mwaka 2014 ndio maana unatakiwa kujiuliza kwanini nchi nzima distiction inakosekana vyuo vyote nikimaanisha private na government na merit ni za kuhesabu katika vyuo vyote bado unashindwa kujiuliza kwa nini au uta coclude wanachuo wote ni wajinga na hawasomi? Usiwe shabiki ndugu bila tafiti na ndio maana mfumo huo umebadilishwa ingawa kwangu mimi naona ndio ulikuwa bora maana ili ufahuru lazima usome kwa juhud sio huu wa semesterAcha uongo bhana, kusoma ni bidii za mtuhana, kuna madam nipo nae ktuo kimoja alipiga G.P.A Kali balaa, masomo take mengi kapiga A Ila ukimwangalia ni mshamba wa vitu vingi sana, inaonesha alikuwa serious Na kitabu tu, wanaofeli ni wazembe
Hata mimi naweza sema tangu nimeanza sijawahi pata GPA chin ya 4.8 kwa maana ni maneno tu ya kutetea na kulazimisha hoja yangu ikubalike,kama umepitia diploma ya teaching miaka ilipo anzishwa supplementary na ile si ile ya bora liende utaelewa. Rejea jibu langu kwa Shegynho hapo juuHapana ndugu yangu....tena masomo ya education n ya kawaida sana
.......n kujipanga tu ndgu yangu.....tangu naanza chuo cjawah kupta GPA ya 3:0 n 4; 0 na kuendelea. .....huu n wakt mgumu so as vijana tusome jmn maana ckuiz hmna upendeleo tena
Kilazer katika lipi maana unaweza kuwa kilazer katika hili na ukawa una akili katika lile? Lakin kwa kilazer sizan kama angepata hata hiyo GPA 2.3 , nadhan ange fail kabisa .simtetei lakin najaribu kuongelea uhalisia na si mazoea.Huyu namjua mkuu,nimesoma naye chuo bunda alikuwa ki.laz.a sana,kichwani hamna kitu,ila mwaka wetu mtu wa kwanza alikuwa na pass ya gpa ya 3.3 na wapili 3.0,na tulikuwa kama 170,
As I have said,I Know the man personally and the one was my classmate,he used to perform poorly in his studiesKilazer katika lipi maana unaweza kuwa kilazer katika hili na ukawa una akili katika lile? Lakin kwa kilazer sizan kama angepata hata hiyo GPA 2.3 , nadhan ange fail kabisa .simtetei lakin najaribu kuongelea uhalisia na si mazoea.
Nadhan wewe utakuwa muingereza.As I have said,I Know the man personally and the one was my classmate,he used to perform poorly in his studies
Ok. Kumbe kwenye masomo ya darasani? Basi laa! Akawa vyema sana kwenye kilimo na ufugaji na anaweza ku score AAs I have said,I Know the man personally and the one was my classmate,he used to perform poorly in his studies