Msaada kuhusu post form education

Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
330
340
Msaada wa haraka kuhusu post form four education mm ni mehitimu kidato cha sita 1992 lakin kila nikijaza index namba yangu kipengele cha post education naambiwa wrong index number naomba msaada wa haraka kwani komebaki kipengele hicho tuuu
 
Kwani unatakiwa kujaza index no ya form four au form six..?
Wewe umeingiza ya form 6 pengine inayohitajika ni ya form four!!! Weka ya form four...
 
Mmmmhh jamani mbona tunatishana baada ya kuelimishana mbona siwaelewi
 
Back
Top Bottom