SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,263
Wadau habari zenu na heri ya Idd.
Nimeingia tovuti ya heslb kwa kusudi la kujiandikisha kuomba mkopo.Nimestushwa na yafuatayo:
1.Sura yote ya tovuti haionekani.Kuna kisehemu kama robo tovuti kimefunikwa kiasi kwamba sehemu za kujaza index number,account number ya benki na email address hazionekani vizuri.
Je wadau ndivyo ilivyo kwa wote au ni kwangu tu? Sikuweza kujaza, nimeacha.