C chulla Member Jun 4, 2016 48 21 Jul 7, 2016 #1 Mwenye taarifa ya lini hasa TCU wataanza kupokea maombi, nijuze tafadhali
N NicholausII Member Jun 13, 2016 7 1 Jul 7, 2016 #2 TCU wanapokea maombi baada ya matokeo kutoka Sasa unataka muanze kutuma kabla hamjajua majibu yenu?
Mustaphagentleman JF-Expert Member Jun 22, 2016 3,953 3,020 Jul 7, 2016 #3 Hao kuna kipind mtu wa kusoma HR alipangiwa Business Management and Finance Jipuuuuuuu
ANTHONY KWEKA JF-Expert Member Mar 26, 2013 958 379 Jul 7, 2016 #5 kuna walakin mkubwaaa kwa uchelewajii