Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,477
- 27,176
NACTE walitoa Announcement Ya Kuwa Watafungua Tena Dirisha la Kupokea Maombi ya Udahili Kwa Vyuo Vikuu Wiki Ya Mwisho Ya Mwezi wa Sita! Lakini Mpaka Leo hii tarehe 28/06/2016 hakuna Dalili yoyote Ya Kuanza Kupokea Maombi.
HESLB nao Walitoa GuideBook na Ku-announce Kuwa Wataanza Kupokea Maombi Ya Wanaotaka Kupatiwa Mikopo ya Masomo Vyuo Vikuu Siku ya tarehe 27/06/2016! Lakini Mpaka Leo tarehe 20/06/2016 hawajaanza Kupokea Maombi.
Ni wazi Kuwa Utawala huu ni Wa Wababaishaji Ambao Kwao "Maneno ni Mengi Kuliko Vitendo"!!
Ukiuliza Utaambiwa "Ndiyo Tunatengeneza Mambo Sawa"! Utatoaje Tangazo la Kuanza Huduma Wakati Ndio Kwanza Unataka Kutengeneza sasa mfumo wa Kutoa Huduma??
Hivi Mh. ulilolijua wewe kulitekeleza kwa Vitendo ni ile Kuandaa Bajeti ya Bilioni 8 kukarabati Ofisi yako tu??