Msaada jinsi ya kulipia loan forms (HESLB)

Joseph Cliff

Member
May 31, 2016
28
6
Nimejaribu kulipia kwa njia ya M-pesa lakini kuna sehemu nafika nakwama wanasema niweke namba ya akauti noamba msaada. nifanyaje?

au kama njia ninayo tumia sio sahihi ningependa kujua njia sahihi..
 
Ingiza Namba yako ya form four ya mtihani na mwaka. Mfano S3244. 0183.2013. Nimefanya hivyo na kufanikisha.
 
Back
Top Bottom