Maelezo yako ni tofaut kabisa na swali/mtoa post, yeye hapo anamaanisha zile post za kusomea ualimu.Yaani degree zetu za bongo no shida. MTU unamaliza degree unakaa kusubiri ajira, umekaa tu.
Unaenda private wanakupa mkataba eti unakataa unaogopa ajira ikitoka itakuaje. TUMIA AKILI ATA KIDIGO NA MUACHE UOGA WA MAISHA
Tatizo vijana wanaogopa kujiajiri wanaamini ajira za serikalini ndo kila kitu.Yaani degree zetu za bongo no shida. MTU unamaliza degree unakaa kusubiri ajira, umekaa tu.
Unaenda private wanakupa mkataba eti unakataa unaogopa ajira ikitoka itakuaje. TUMIA AKILI ATA KIDIGO NA MUACHE UOGA WA MAISHA
Kk kwa uelewa wangu heading ni post za ualimu but maelezo hayaendani na heading maana naona umeuliza post za nacte tutakusaidaije sasa kama ni post za nacte uliza baada ya siku kuu hii but kama ni Ajira Za ualimu utasubili sana ni ukalimejaman wadau kunani huko nacte mana nashangaa mda unazid kwenda hamna updates zozote kweny profile yao. na Wiki yakwanza ya mwez7 ndo imeisha ivyoo. now hatuwaelew wanampango gan??? mweny tetesi atuambie jaman tumechoka!
kwa mtu yeyote anaejua steps for answering questions, kwanza soma mada na uielewe nashangaa watu wanazungmzia ajra wakat namanisha selection za vyuo!Nahisi watakuja na kick ambayo watu hawataamini macho yao.
Hawa wanaweza kusema kwa kuanzia tutaanza kuajili walimu wa sayansi hapo ndo kutakuwa na kilio na kuthaga meno
Naomba na mm bro uniunge hpo plz km kuna nafas karibia namalizaTatizo vijana wanaogopa kujiajiri wanaamini ajira za serikalini ndo kila kitu.
Kuna dogo kamaliza Monduli diploma akatafuta tempo akakosa akaja kwangu nikamweka kwenye mishe zangu nimepiga nae hadi muda huu anasema ajira zichelewe hata hadi miaka miwili ili aendelee kula pesa kwani hapa alipo anakisanya laki 3.5 kwa siku inayoingia mfukoni mwake na kajitambua anaweka akiba vizuri pia ni mwaminifu kwa kiasi chake mambo yanaenda. Kwa kweli anasema aendelee na biashara japo ni ya msimu kwa asie na mtaji mkubwa.
Vijana waamke na watumie ajira serikalini kama sehem ya kupatia mtaji tu then unasepa unaenda kupambana na maisha mwenyewe pasipo na presa ya kutumbuliwa maana wewe ndo utakuwa mkusanyaji mkuu, mtumbuaji mkuu hakuna ntu kukupa presha.