BACHELOR DEGREE

C.Thady

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
589
154
Eid Mubarak wapendwa...
Kuna ndugu yangu anataka kwenda kusoma Bachelor degree chuo kilichopo nje ya Africa. Emaliza comb ya HGE. Je, ni Course gani nzuri yenye soko ambayo anaweza kusomea nje ya Africa.
NB: course ihusiane Na Mambo ya Economics.
Asanteni wote na Mbarikiwe.
 
Kwan yeye anataka kuwa nan ktk maisha haya au anasoma kufuata matokeo? Au hajui mpaka aambiwe?
 
Kozi zozote za biashara,Fınance,Accounts,Economics na Land n.k.Pia BA zote mpaka law km alifanya vzuri language Olevel.
 
Back
Top Bottom