Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Walimu shuleni wanakimbizana kumaliza SILABASI badala ya kumaliza ujinga. Ndio maana utakuta mtoto wa darasa la saba anamaliza hajui kusoma wala kuandika. Wakaguzi wa elimu wao wanakwenda...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauliza km ulikosa mkopo mwaka jana ukasoma ivyoivyo ukiomba tena mwaka huu utaomba km continous au utaomba km wanavyoomba wengine fresh
0 Reactions
2 Replies
963 Views
nashindwa kupata join instruction ya kibiti high school kwa mwenye uwezo anisaidie!!!!
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Wadau... Mimi nimehitimi kidato cha sita mwaka huu ila mchepuo wa PCB. Ila napata mkanganyiko nichague faculty gani zenye kulipa vizuri baadae. Nisaidieni jamani, Naifaham MD tu... hzo nyingine...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Written by Jakaya Kikwete, Former President of Tanzania Tuesday 5 July 2016 A week, it is said, is a long time in politics. That was certainly the case at the end of last month, when, in a...
2 Reactions
0 Replies
699 Views
Kuna ndgu yangu ana miaka 32 kamaliza 2009 PCB akafanikiwa Ku score div ii ila bahat mbaya aliugua mwaka Jana akapona ....mwaka huu alikuwa NA mpango wa kuapply MD,tatizo linakuja heslb wametoa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Nauliza km ulikosa mkopo mwaka jana ukasoma ivyoivyo ukiomba tena mwaka huu utaomba km continous au utaomba km wanavyoomba wengine fresh
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tafadhali naomba kujuzwa Ajira za nursing znapangwa Nani? Wizara ya afya au Tamisemi? Utaratbu unakuaje? Msaada plz 0653447793
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina D NNE mbili za chem na biology.nisaidieni ndugu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa wale waliopitia private candidate wakiwa o-level wakati wa kununua vocha via M-pesa kwa ajili ya application za mikopo na wanatumia index number ipi?? Maana wanakua na vyeti...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kuna MTU anayo join instructions atupie APA!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada kwenye fomu za maombi ya mikipo Heslb,vp hapa kwenye kuambatanisha nakala ya cheti cha form6 sasa inakuaje hapoo na uku vyeti na result slip badooo[emoji17] [emoji17] na mwisho ni 31 July...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Walimu shuleni wanakimbizana kumaliza SILABASI badala ya kumaliza ujinga. Ndio maana utakuta mtoto wa darasa la saba anamaliza hajui kusoma wala kuandika. Wakaguzi wa elimu wao wanakwenda...
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Application for university imeshatolewa watu waanze kujaza?naombeni jibu kwa wanaojua
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Wakuu mabibi na mabwana...selection ambazo zilitazamiwa kutolewa mwanzoni mwa mwezi huu zitachukua muda kidogo hii ni kutokana na kugundulika kwa udanganyifu,na kuna watu wamefanya application...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa niaba ya mwalimu wa shule ya sekondari kisangara mwanga anaomba kubadilishana kituo na mwalimu yeyote aliye tayari kutoka morogoro municipal,au mvomero kwa mawasiliano awasiliane nae...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Wapendwa wasomi wenzangu, naomba kujuwa zile form za application and agreement zilizo katika Guidelines ya 2016/2017 kwenye ukurara 18 na 19 tunazijaza na kuzituma wakati gani? ama tunazichanganya...
0 Reactions
2 Replies
787 Views
naweza kusoma QT masomo ya science na kuja kuwa doctor,mi nina miaka 21 msaada juu ya hili
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa mtu anaye ifaham hii shule ya kigurunyembe anipe raman jinsi shule ilivyo katk suala zima l kitaaluma kwa upande w advnc..
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaman naulizia mkopo kwa diploma jee naweza kupata Jee kuna watu walowahi kupata?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom