Ni wapi naweza kujifunza jinsi ya kutengeneza ice cream hapa Tanzania?

mailimoja77

Member
May 18, 2016
21
8
Nimekuwa natamani kuwa mjasiliamali na hasa ninamapenz makubwa na ice cream hivo naomba msaada kujua wapi naweza pata coz hiyo
ASANTE.
 
hii makitu huwa nayapenda sana.
Screenshot_2016-05-20-00-04-03.png


swissme
 
Kuna seminars za wajasiriamali huwa wanafundisha vitu vingi tu na ada zao ni elf 10.... Hudhuria utajua
 
Back
Top Bottom