Mr.Wenger
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 2,558
- 6,091
Mdogo wangu alirisiti mwaka jana masomo 6 majibu yakawa hivi;
Kiswahili D
English C
Literature C
History C
Geography D
Civics D
Sasa alienda kuchukua form shule moja ya advance ipo hapa Dar lengo asome either HGK au HKL lkn ile shule wamekataa wanasema comb haijabalance na hata akienda shule nyingine wakimpokea atasoma form 5 lkn kuingia form 6 necta wataleta vikwazo. Sasa wameshauri either aende chuo akapige certificate au arisiti tena. Certificate ameshaomba kupitia nacte tunasubiri majibu, lkn bado najiuliza ni kweli hawezi kwenda advance kwa hayo matokeo? Mwenye ufahamu zaidi anijuze tafadhali